Naibu
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angeline Mabula
akiwasili kwenye ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Geita na akisalimiana na
kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa huo Nyuma yake ni mwenyeji wake
ambaye ni Mkuu wa Mkoa, Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga
Naibu Waziri
wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angeline Mabula,akisaini
kwenye kitabu cha wageni ofisi ya mkuu wa Wilaya ya Mbongwe. Mkuu
wa Wilaya ya Mbongwe Mathar Mkupasi akisoma taarifa ya ardhi na
maendeleo ya ukusanyaji wa mapato ambayo yanatokana na ardhi pamoja
majengo yaliyopo kwenye Halmashauri ya Wilaya Hiyo. Watumishi
wa halmashauri ya Mboongwe pamoja na kamati ya Ulinzi na usalama
wakifuatilia kikao cha Naibu waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya
Makazi. Mkurugenzi
Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbongwe Elias Kayandabila
akionesha mchoro na ramani ya nyumba ambazo zinatarajia kujengwa na
shirika la Nyumba la Taifa. Mkurugenzi
Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbongwe Elias Kayandabila
akikabidhi ramani kwa meneja wa shirika la Nyumba Mwanza, Simiyu na
Geita Mhandisi Benedict Kilimba . Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angeline Mabula,akikagua mafaili kwenye ofisi za Ardhi za Wilaya hiyo. Naibu
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angeline
Mabula,akiangalia ramani ya Kijiji cha Bukandwe ambacho kipo kwenye
Wilaya ya Mbongwe Mkoani Geita. Mkuu
wa Wilaya ya Mbongwe Mathar Mkupasi akiagana na Naibu Waziri wa Ardhi,
Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angeline Mabula wakati alipotembelea
kijiji cha Bukandwe. Mkuu
wa Wilaya ya Bukombe ,Josephat Maganga akisoma taarifa fupi ya Wilaya
ya Bukombe kwa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Naibu
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula akikagua
na kupatiwa maelezo na afisa ardhi mteule Joseph Kimondo . Naibu
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula
,akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Bukombe.PICHA ZOTE NA JOEL
MADUKA .
SHARE
No comments:
Post a Comment