TRA

TRA

Saturday, September 9, 2017

Kimbunga Irma chawasili Cuba

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


Kimbunga Irma kikiandamana na upepo mkali. 


Kimbunga hicho ambacho kimeendelea kuimarika saa chace zilizopita kinatarajiwa kuathiri miji ya pwani. Kifikia sasa watu ishirini wamerikpotiwa kufariki katika visiwa vya Carebean.

Msemaji wa kituo cha kushughulikia majanga, nchini Marekani,amesema kimbunga hicho huenda kika-muangamiza mtu yeyeyote ambaye hatajiepusha nacho. 

Kumeshuhudiwa msongamano mkubwa wa magari na upungufu wa petroli, wakaazi wa Florida wakielekea maeneo ya kaskazini.

Wakati huo huo kimbunga Ema kinachoendelea kusonga kwa kasi,sasa kimeingia nchini Cuba. 

Kimbunga hicho, kinaandamana na upepo mkali na mvua kubwa kuelekea visiwa vya kaskazi mwa Caribbean.

Bahamas hata hivyo imenusurika na kimbunga hicho baada ya upepo kubadilisha mkondo. Visiwa vya mashariki vilivyokuwa vimekumbwa na mafuriko makubwa sasa ya yanakabiliwa na tishio la kugongwa na kimbunga kingine.

Shughuli ya kuwaondoa watu katika kisiwa cha Barbuda ilikamilika.

CHANZO: BBC

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger