• About
  • Services
  • Products
  • Blog
  • Contact Us

NCHI YANGU

Menu
  • Home
  • Lifestyle
    • Sub Menu 1
    • Sub Menu 2
    • Sub Menu 3
  • Sports
    • Sub Menu 1
      • Sub Menu 1
      • Sub Menu 2
      • Sub Menu 3
    • Sub Menu 2
    • Sub Menu 3
  • Post
  • Fitness
  • Music
  • Travel
  • Politics
  • Beauty

TRA

TRA

Friday, September 15, 2017

Home > > Kombe la Dunia Urusi 2018: Tiketi za kwanza zaanza kuuzwa

Kombe la Dunia Urusi 2018: Tiketi za kwanza zaanza kuuzwa

at 7:18 AM
Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !
  • abari
  • Michezo
  • Video
  • Sauti
  • Vipindi vya Redio
  • Picha
 
Kundi la kwanza la tiketi za fainali za Kombe la Dunia 2018 ambazo zitachezewa nchini Urusi zilianza kuuzwa Alhamisi.
Mashabiki wa soka wanaweza kuwasilisha maombi ya kununua tiketi hizo kupitia tovuti ya Fifa.
Tiketi hizo zitauzwa kwa awamu mbili.
Bei ya tiketi hizo itakuwa ni kuanzia £79 kwa mechi za raundi ya pili hatua ya makundi hadi £829 kwa fainali yenyewe ambayo itachezewa Moscow.
Kwa kufuata sera za awali za uuzaji wa tiketi, wakazi wa urusi watakuwa na aina maalum za tiketi ambazo bei yake itaanzia £17.
Tiketi ghali zaidi zitakuwa za mechi ya fainali yenyewe ambazo zitauzwa £829.
Hilo litakuwa ni ongezeko la £151 ukilinganisha na tiketi za mechi sawa za fainali ya mwaka 2014 ambayo ilichezewa Rio de Janeiro nchini Brazil.
"Tumeweka mfumo wa kutoa tiketi ambao utawapa mashabiki nafasi sawa ya kujipatia tiketi," katibu mkuu wa Fifa Fatma Samoura amesema.
Tiketi za Kombe la Dunia la 2018 nchini Urusi
Mechi Kundi 1 Kundi 2 Kundi 3 Kundi 4 - Wakazi wa Urusi
Mechi ya ufunguzi £414* £294 £166 £42**
Mechi za makundi £158 £124 £79 £17
Raundi ya 16 £185 £139 £87 £29
Robofainali £275 £192 £132 £50
Nusufainali £565 £362 £215 £59
Mechi ya kuamua nafasi 3 na 4 £275 £192 £132 £50
Fainali £829 £535 £343 £92
*bei imehesabiwa kutoka kwa Dola za Marekani hadi kwa Pauni za Uingereza kwa kutumia viwango vya sasa vya ubadilishanaji wa fedha.
**bei imehesabiwa kutoka kwa Ruble za Urusi hadi kwa Pauni za Uingereza kwa kutumia viwango vya sasa vya ubadilishanaji wa fedha.
 Mechi ya kwanza itachezwa 14 Juni
Awamu ya kwanza ya kuwasilisha maombi ya tiketi itafanyika kabla ya tarehe 12 Oktoba.
Watakaowasilisha maombi watafahamishwa kufikia 16 Novemba iwapo wamefanikiwa.
Michuano hiyo itaanza tarehe 14 Juni ambapo Urusi wakicheza mechi ya ufunguzi uwanjani Luzhniki, Moscow.
Mataifa saba yamejikatia tiketi ya kushiriki michuano hiyo pamoja na mwenyeji Urusi - mabingwa mara tano Brazil, Ubelgiji, Iran, Mexico, Japan, Saudi Arabia na Korea Kusini.

CHANZO: BBC
Unknown

Author: Unknown

SHARE
  • Share
  • Tweet
  • Share
  • Pin
  • Share
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Fourni par Blogger CodeEnvoyer par emailBlogThis !Partager sur TwitterPartager sur FacebookPartager sur LinkedInÉpingler sur PinterestPartager sur StumbleUponVoter pour cet article sur HelloCoton

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Tupate kupitia Facebook

Popular Posts

  • JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI(EAC)YAWAANDALIA HAFLA FUPI WAFANYAKAZI WAPYA JIJINI ARUSHA
      Baadhi ya wafanyakazi wapya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC) wakiwa na furaha  katika hafla ya kuwaka...
  • Mbunge wa Jimbo la Mchinga atembelea wapigakura wake
    Mbunge wa Jimbo la Mchinga mkoani Lindi, Hamidu Bobali akizungumza na wananchi wa Kitongoji cha Lichinji Kata ya Kilangala katika mkutan...
  • WAKULIMA KUNUFAIKA NA BWAWA LA KILOMO CHA UMWAGILIAJI MKOANI GEITA.
      Mkuu wa Wilaya ya Geita  Mwl Herman Kapufi akikagua Shamba la Mahindi kwenye Kijiji cha Nyang'uku . Mwenyekiti...

Popular Posts

  • JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI(EAC)YAWAANDALIA HAFLA FUPI WAFANYAKAZI WAPYA JIJINI ARUSHA
    JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI(EAC)YAWAANDALIA HAFLA FUPI WAFANYAKAZI WAPYA JIJINI ARUSHA
      Baadhi ya wafanyakazi wapya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC) wakiwa na furaha  katika hafla ya kuwaka...
  • Mbunge wa Jimbo la Mchinga atembelea wapigakura wake
    Mbunge wa Jimbo la Mchinga atembelea wapigakura wake
    Mbunge wa Jimbo la Mchinga mkoani Lindi, Hamidu Bobali akizungumza na wananchi wa Kitongoji cha Lichinji Kata ya Kilangala katika mkutan...
  • WAKULIMA KUNUFAIKA NA BWAWA LA KILOMO CHA UMWAGILIAJI MKOANI GEITA.
    WAKULIMA KUNUFAIKA NA BWAWA LA KILOMO CHA UMWAGILIAJI MKOANI GEITA.
      Mkuu wa Wilaya ya Geita  Mwl Herman Kapufi akikagua Shamba la Mahindi kwenye Kijiji cha Nyang'uku . Mwenyekiti...
  • NEEC FANYENI TATHMINI YA KISAYANSI KUHUSU MANUFAA YA MIFUKO YOTE YA UWEZESHAJI-MAJALIWA
    NEEC FANYENI TATHMINI YA KISAYANSI KUHUSU MANUFAA YA MIFUKO YOTE YA UWEZESHAJI-MAJALIWA
    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Mkurugenzi wa manispaa ya Dodoma, Bw. Godwin Kunambi (wapili kushoto) hundi ya Shilin...
  • UVUNAJI WA MAZAO YA MISITU UZINGATIE SHERIA, KANUNI NA TARATIBU ZA NCHI
    UVUNAJI WA MAZAO YA MISITU UZINGATIE SHERIA, KANUNI NA TARATIBU ZA NCHI
      N A BEATRICE LYIMO- MAELEZO RASILIMALI ya misitu ina umuhimu mkubwa katika suala la uhifadhi wa mazingira na takribani as...
  • MRADI WA "HAKUNA WASICHOWEZA" WAZINDULIWA
    MRADI WA "HAKUNA WASICHOWEZA" WAZINDULIWA
      Aliekuwa Mkuu wa wilaya ya Lindi, Yahaya Nawanda, (katikati), akikata utepe kuzindua mradi wa ”Hakuna wasichoweza” unaowapati...

Pages

  • Home
  • About Us
  • Contat Us
 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger