Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea picha aliyopewa na Askofu Mkuu Mpya wa
Kanisa la Kiinjili la Kilutheli,Askofu Frederck Shoo katika ibada ya
kumuingiza kazini askofu huyo ilyofanyika kwenye kanisa kuu la KKKT
mjini Moshi Januari 31, 2016.
Baadhi
ya waalikwa walioshiriki katika ibada ya kumuingiza kazini Mkuu wa
Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT), Askofu Frederick Shoo
iliyofanyika kwenye kanisa kuu la KKKT mjini Moshi Januari 31, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizunguza katika ibada ya kumuingiza kazini Mkuu
wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Frederick
Shoo iliyofanyika kwenye kanisa Kuu la KKKT mjini Moshi Januari 31,
2016.
Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa
katika ibada ya kumuingiza kazini Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la
Kilutheri Tanzania, Askofu Frederick Shoo kwenye kanisa Kuu la KKKT
mjini Moshi Januari 31, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Askofu Mkuu wa
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Frederick Shoo
(kulia) na Askofu Mkuu wa KKKT Mstaafu Alex Malasusa baada ya ibada ya
kumuingiza kazini Askofu Shoo iliyofanyika kwenye Kanisa Kuu la KKKT
mjini Moshi Januari 31, 2016.
(PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
SHARE
No comments:
Post a Comment