Mwenyekiti
wa Chama cha Wafanyakazi ZAFICAW Bi. Rihii Haji Ali, akimkabidhi Cheti
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Juma Ameir
Khafidh cha Mwajiri Bora Katika Ushirikiano na ZAFICOW kwa mwaka 2017.
wakati wa hafla ya Bonaza la Wafanyakazi wa PBZ lililofanyika katika
ufukwe wa Hoteli ya Visiter Inn Jambiani Mkoa wa Kusini Unguja.
Mwenyekiti
wa Chama cha Wafanyakazi ZAFICAW Bi. Rihii Haji Ali, akimkabidhi Cheti
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Juma Ameir
Khafidh cha Mwajiri Bora Katika Ushirikiano na ZAFICOW, wakati wa hafla
ya Bonaza la Wafanyakazi wa PBZ lililofanyika katika ufukwe wa Hoteli ya
Visiter Inn Jambiani Mkoa wa Kusini Unguja.
Viongozi
wa PBZ na wa ZAFICOW wakiimbi wimbo wa ushirikiano wa Wafanyakazi
wakati wa hafla hiyo ya kukabidhiwa Cheti zilizofanyika katika Ukumbi wa
Hoteli ya Visiter Inn Jambiani Zanzibar.
Wafanyakazi
wa Benki ya Watu wa Zanzibar wakiimbi wimbo wa Wafanyakazi wa
Mshikamano wakati wa mkutano wao na Mwenyekiti wa ZAFICOW wakati wa
hafla ya bonaza la Michezo lililowashirikisha Wafanyakazi wa PBZ,
Mwenyekiti
wa Chama cha Wafanyakazi Zanzibar ZAFICOW Bi. Rihii Haji Ali
akitzungumza wakati wa mkutano huo na wafanyakazi wa PBZ kujuwa wajibu
wao katika kazi na kuwataka kujiunga na Chama hicho kwa faida yao na
maslahi kwa muajiri wao.Pia alikabidhi Kadi kwa Wanachama wapya ya PBZ
10 waliojiunga na kuwakabidhi Kadi za Uwanachama.
Watendaji
wa PBZ wakifuatilia mkutano huo na Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi
Zanzibar Bi Rihii Haji Ali alipokuwa akizungumza na wafanyakazi hao
wakati wa Tamasha la Bonaza la Wafanyakazi wa PBZ lililofanyika katika
viwanja vya Hoteli ya Visiter Inn Jambiani Mkoa wa Kusini Unguja.
Wafanyakazi
wa PBZ wakifuatilia mkutano huo na Uongozi wa PBZ na ZAFICOW
uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Visiter Inn Jambiani.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Juma Ameir Khafidh
akimkabidhi Kadi ya Mwanachama mpya wa Chama cha Wafanyakazi Zanzibar
ZAFICOW Ndg. Suleiman Abdi, baada ya kujiunga na Chama hicho wakati wa
hafla hiyo iliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Visiter Inn Jambiani
Mkoa wa Kusini Unguja.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Juma Ameir Khafidh
akimkabidhi Kadi ya Mwanachama mpya wa Chama cha Wafanyakazi Zanzibar
ZAFICOW Ndg. Bakari Hussein, baada ya kujiunga na Chama hicho wakati wa
hafla hiyo iliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Visiter Inn Jambiani
Mkoa wa Kusini Unguja.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Juma Ameir Khafidh
akimkabidhi Kadi ya Mwanachama mpya wa Chama cha Wafanyakazi Zanzibar
ZAFICOW Bi. Fatima Ali Denge, baada ya kujiunga na Chama hicho wakati wa
hafla hiyo iliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Visiter Inn Jambiani
Mkoa wa Kusini Unguja.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Juma Ameir Khafidh
akimkabidhi Kadi ya Mwanachama mpya wa Chama cha Wafanyakazi Zanzibar
ZAFICOW Bi. Mkunga Mohammed Saleh, baada ya kujiunga na Chama hicho
wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Visiter Inn
Jambiani Mkoa wa Kusini Unguja.
Mkurugenzi
Mtendajio wa Benki ya Watu wa Zanzibar Ngd Juma Ameir Khafidh
akimkabidhi zawada ya fedha shilingi miliono moja kwa kuibuka Mfanyakazi
Bora wa Benki ya Watu wa Zanzibar kwa mwaka 2017 Ndg. Juma Ameir
Makame (kulia) akishuhudia Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi Zanzibar
(ZAFICOW) Bi. Rihii Haji Ali hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa
hoteli ya Visiter Inn Jambiani Mkoa wa Kusini Unguja.
Mfanyakazi
wa Benki ya Watu wa Zanzibar Ndg.Haji Masoud, akikisoma Cheti cha
Mwajiri Bora Katika Ushirikishwaji katika Chama cha Wafanyakazi cha
ZAFICOW, wakati wa kukabidhi na Uongozi wa ZAFICOW.
Afisa
Muandamizi Masoko wa Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ Ndg. Anasi Rashid
akizungumza na kutowa maelekezo wakati wa Mkutano huo wa Wafanyakazi na
Uongozi wa Chama cha Wafanyakazi Zanzibar Wafanyakazi Zanzibar (ZAFICOW)
Mkurugenzi
Rasilimali Watu PBZ Ndg. Mohammed Omar (kulia) akimkabidhi zawadi
maalum iliyotolewa na Wafanyakazi wa PBZ kwa Boss wao wakati wa Mkutano
huo na Wafanyakazi wa PBZ Zanzibar hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi
wa Hoteli ya Visiter Inn Jambiani Zanzibar.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Ndg Juma Ameir Khafidh
akitowa nasaha zake kwa Wafanyakazi wakati wa mkutano huo ulioambatana
na michezo mbalimbali iliowashirikishwa Wafanyakazi kujumuika pamoja na
kubadilishana mawazo Bonaza hilo limefanyika katika ufukwe wa Hoteli ya
Visiter Inn Jambani.Mkoa wa Kusini Unguja.
Mkurugenzi
Mtendaji wa PBZ Ndg. Juma Ameir Khafidh akisisitiza jambo wakati wa
mkutano huo na Wafanyakazi uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya
Visiter Inn Jambiani Zanzibar.
Wafanyakazi
wa PBZ wakipata viburudisho ya maji ya madafu baada ya mkutano huo
uliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Visiter Inn Jambiani Mkoa wa
Kusini Unguja.
Imeandaliwa na Othmanmapara.blog.
Zanzinews.com
othmanmaulid@gmail.com
Mobile.0777424152.
SHARE
No comments:
Post a Comment