Baadhi ya wabunge wakiwasili katika ukumbi wa bunge kuhudhuria kikao cha Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma
Naibu Spika Mhe Dkt Tulia Ackson akiongoza kikao cha Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma
Mwenyekiti
wa Bunge Mhe. Adrew Chenge akiwakiwasilia tayari kuongoza kikao cha
Bunge katika Bunge la 11 linaloendelea mjini Dodoma
Waziri
wa Fedha na Mipango Mhe Dkt Philip Mpango akiwasilisha hoja ya Serikali
ili Bunge lijadili na kuidhinisha Mpango wa pili wa Maendeleo ya Taifa
kwa kipindi cha miaka mitano
Naibu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Suleiman
Jafo akitoa ufafnuzi juu ya maswali yaliyoulizwa na wabunge kuhusu
wizara hiyo katika kikao cha cha Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
Mhe. George Simbachawene akitoa ufafnuzi juu ya maswali yaliyoulizwa na
wabunge kuhusu wizara hiyo katika kikao cha cha Bunge la 11
linaloendelea Mjini Dodoma
Waziri
wa Sayansi,Teknolojia na Mafunzo ya ufundi Mhe.Prof Joyce Ndalichako
akitoa ufafnuzi juu ya maswali yaliyoulizwa na wabunge kuhusu wizara
hiyo katika kikao cha cha Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma
Waziri wa Habari,utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akimsikiliza Naibu wake Mhe.Annastazia Wambura walipokuwa katika kikao cha Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma
Waziri
wa Katiba na Sheria Mhe Dkt Harrison Mwakyembe akimsikiliza Mbunge wa
Kigoma Mjini (ACT) Mhe. Zitto Kabwe walipokuwa katika kikao cha Bunge
la 11 linaloendelea Mjini Dodoma
SHARE
No comments:
Post a Comment