Ngedere
wakiuangalia mfuko wa plastiki ukiwa umefungwa bila kujua ndani
kunanini ngedere hao wakaona wausogelee kwa karibu kama watapata
chochote mara baada ya kuufungua mfuko huo.....
Mmmmmmmmhhhhhhhhhhh............. kumbe!!!!!!!!!
Ohhhhh
ni maganda ya ndizi Ngedere hawakuona tabu sana maganda nayo
nikakumbuka wimbo mmoja. Mla ndiziii msaahau yote mla maganda mkumbuka
yoteee hahahahaaaa. Jamani Ngedele yupo vizuri hakupotezea alipoona
maganda akaona amalizie maganda hivyohivyo.
Ngedele
akaendelea kupekua vizuri katika mfuko huo hahaha ..... ngedere
anamalizia vipande vidogo vidogo vya ndizi hata kama mtu kamaliza.......
Ngedere hakuona shida nakuamua kunywa maji yaliyopo tuu bila kujali lolote.
SHARE
No comments:
Post a Comment