Waziri Mkuu, Kassim Majalliwa akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Waziri Mkuu, Jenista Mhagama Buneni mjini Dodoma Januari 27, 2016.
Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia) akimwapisha Waziri wa Elimu ,
Sayansi, Tekinolojia na Mafunzo ya Ufundi Joyce Ndarichako, bungeni
mjini Dodoma Januari 27, 2016.
Waziri wa Habari,Utamaduni, Wasanii,na Michezo Nape Nnauye akitoa kauli Bungeni mjini Dodoma Januari 27, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Maliasili na Utalii,
Profesa Jumanne Maghembe, Bungeni mjini Dodoma January 27, 2016.
Mwenyekiti wa Bunge, Mtemi Andrew Chenge akiongoza kikao cha Bunge mjini Dodoma Januari 27, 2016.
aziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na wabunge kwenye jengo la
Utawala la Bunge mjini Dodoma Januari 27, 2016. Kutoka kushoto ni Ruth
Mollel wa Viti Maalu Chadema, Hawa Mwinga wa Viti Maalum Cahdema na Ali
Saleh wa Malindi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
SHARE
No comments:
Post a Comment