Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akiweka saini kitabu cha wageni alipowasili
katika shule ya Msingi ya Mbuyuni, Oysterbay, jijini Dar es salaam kwa
sherehe fupi ya kuwaaga rasmi walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo
ambayo ana historia nayo ndefu sana kwani ndipo yeye mwenyewe aliposomea
elimu ya msingi toka darasa la kwanza hadi la saba kabla hajarudi tena
hapo kama mwalimu na kufanya kazi kwa miaka 17 mfululizo.
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akiongozana na mwalimu Mkuu wa shule ya
Msingi ya Mbuyuni, Mwalimu Dorothy Mwalecela , Oysterbay, jijini Dar es
salaam kabla ya kuanza kwa sherehe fupi ya kuwaaga rasmi walimu wenzake
na wanafunzi wa shule hiyo ambayo ana historia nayo ndefu sana kwani
ndipo yeye mwenyewe aliposomea elimu ya msingi toka darasa la kwanza
hadi la saba kabla hajarudi tena hapo kama mwalimu na kufanya kazi kwa
miaka 17 mfululizo.
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwa ameketi kwenye meza yake katika ofisi
ya waalimu katika shule ya Msingi ya Mbuyuni, Oysterbay, jijini Dar es
salaam wakati wa sherehe fupi ya kuwaaga rasmi walimu wenzake na
wanafunzi wa shule hiyo ambayo ana historia nayo ndefu sana kwani ndipo
yeye mwenyewe aliposomea elimu ya msingi toka darasa la kwanza hadi la
saba kabla hajarudi tena hapo kama mwalimu na kufanya kazi kwa miaka 17
mfululizo.
Wanafunzi
wa shule ya Msingi ya Mbuyuni, Oysterbay, jijini Dar es salaam katika
sherehe hiyo fupi ya Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli kuwaaga rasmi
walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo ambayo ana historia nayo ndefu
sana kwani ndipo yeye mwenyewe aliposomea elimu ya msingi toka darasa
la kwanza hadi la saba kabla hajarudi tena hapo kama mwalimu na kufanya
kazi kwa miaka 17 mfululizo.
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akisikiliza maelezo ya utangulizi ya
mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi ya Mbuyuni, Mwalimu Dorothy Mwalecela ,
Oysterbay, jijini Dar es salaam wakati wa sherehe fupi ya kuwaaga rasmi

Waalimu
wa Shule ya msingi ya Mbuyuni Oysterbay, jijini Dar es salaam wakati wa
sherehe fupi ya Mama janeth Magufuli kuwaaga rasmi walimu wenzake na
wanafunzi wa shule hiyo ambayo ana historia nayo ndefu sana kwani ndipo
yeye mwenyewe aliposomea elimu ya msingi toka darasa la kwanza hadi la
saba kabla hajarudi tena hapo kama mwalimu na kufanya kazi kwa miaka 17
mfululizo.
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akipokea zawadi toka kwa Afisa Elimu wa
Wilaya ya Kinondoni katika Shule ya msingi ya Mbuyuni Oysterbay, jijini
Dar es salaam wakati wa sherehe fupi ya kuwaaga rasmi walimu wenzake na
wanafunzi wa shule hiyo ambayo ana historia nayo ndefu sana kwani ndipo
yeye mwenyewe aliposomea elimu ya msingi toka darasa la kwanza hadi la
saba kabla hajarudi tena hapo kama mwalimu na kufanya kazi kwa miaka 17
mfululizo.
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akisikiliza risala toka kwa mwanafunzi wa
shule ya Msingi ya Mbuyuni Oysterbay, jijini Dar es salaam wakati wa
sherehe fupi ya kuwaaga rasmi walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo
ambayo ana historia nayo ndefu sana kwani ndipo yeye mwenyewe aliposomea
elimu ya msingi toka darasa la kwanza hadi la saba kabla hajarudi tena
hapo kama mwalimu na kufanya kazi kwa miaka 17 mfululizo.
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akipokea risala toka kwa mwanafunzi wa
shule ya Msingi ya Mbuyuni Oysterbay, jijini Dar es salaam wakati wa
sherehe fupi ya kuwaaga rasmi walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo
ambayo ana historia nayo ndefu sana kwani ndipo yeye mwenyewe aliposomea
elimu ya msingi toka darasa la kwanza hadi la saba kabla hajarudi tena
hapo kama mwalimu na kufanya kazi kwa miaka 17 mfululizo.
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akisikiliza maelezo ya utangulizi ya
mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi ya Mbuyuni, Mwalimu Dorothy Mwalecela ,
Oysterbay, jijini Dar es salaam wakati wa sherehe fupi ya kuwaaga rasmi
walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo ambayo ana historia nayo ndefu
sana kwani ndipo yeye mwenyewe aliposomea elimu ya msingi toka darasa
la kwanza hadi la saba kabla hajarudi tena hapo kama mwalimu na kufanya
kazi kwa miaka 17 mfululizo.
Wanafunzi
wakitumia simu za walimu wao katika Shule ya msingi ya Mbuyuni
Oysterbay, jijini Dar es salaam kurekodia wa sherehe fupi ya Mama janeth
Magufuli kuwaaga rasmi walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo ambayo
ana historia nayo ndefu sana kwani ndipo yeye mwenyewe aliposomea elimu
ya msingi toka darasa la kwanza hadi la saba kabla hajarudi tena hapo
kama mwalimu na kufanya kazi kwa miaka 17 mfululizo.
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akipokea zawadi ya saa toka kwa mwalimu
Mkuu wa shule ya Msingi ya Mbuyuni, Mwalimu Dorothy Mwalecela ,
Oysterbay, jijini Dar es salaam wakati wa sherehe fupi ya kuwaaga rasmi
walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo ambayo ana historia nayo ndefu
sana kwani ndipo yeye mwenyewe aliposomea elimu ya msingi toka darasa
la kwanza hadi la saba kabla hajarudi tena hapo kama mwalimu na kufanya
kazi kwa miaka 17 mfululizo.
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mhe Paul Makonda akimkaribisha Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli kutoa nasaha zake katika shule ya msingi ya Mbuyuni, Oysterbay, jijini Dar es salaam wakati wa sherehe fupi ya kuwaaga rasmi walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo ambayo ana historia nayo ndefu sana kwani ndipo yeye mwenyewe aliposomea elimu ya msingi toka darasa la kwanza hadi la saba kabla hajarudi tena hapo kama mwalimu na kufanya kazi kwa miaka 17 mfululizo leo February 17, 2016.
Kabla ya kuanza kuhutubia Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli na meza kuu aliimbisha wimbo maalumu wa shule ya msingi ya Mbuyuni, Oysterbay, jijini Dar es salaam wakati wa sherehe fupi ya kuwaaga rasmi walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo ambayo ana historia nayo ndefu sana kwani ndipo yeye mwenyewe aliposomea elimu ya msingi toka darasa la kwanza hadi la saba kabla hajarudi tena hapo kama mwalimu na kufanya kazi kwa miaka 17 mfululizo leo February 17, 2016. Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akihutubia katika shule ya msingi ya Mbuyuni, Oysterbay, jijini Dar es salaam wakati wa sherehe fupi ya kuwaaga rasmi walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo ambayo ana historia nayo ndefu sana kwani ndipo yeye mwenyewe aliposomea elimu ya msingi toka darasa la kwanza hadi la saba kabla hajarudi tena hapo kama mwalimu na kufanya kazi kwa miaka 17 mfululizo leo February 17, 2016. Wanafunzi wakimshangilia Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli wakati akihutubia katika shule ya msingi ya Mbuyuni, Oysterbay, jijini Dar es salaam wakati wa sherehe fupi ya kuwaaga rasmi walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo ambayo ana historia nayo ndefu sana kwani ndipo yeye mwenyewe aliposomea elimu ya msingi toka darasa la kwanza hadi la saba kabla hajarudi tena hapo kama mwalimu na kufanya kazi kwa miaka 17 mfululizo leo February 17, 2016. Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiagana na walimu wa shule ya msingi ya Mbuyuni, Oysterbay, jijini Dar es salaam wakati wa sherehe fupi ya kuwaaga rasmi walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo ambayo ana historia nayo ndefu sana kwani ndipo yeye mwenyewe aliposomea elimu ya msingi toka darasa la kwanza hadi la saba kabla hajarudi tena hapo kama mwalimu na kufanya kazi kwa miaka 17 mfululizo leo February 17, 2016. Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiagana na walimu wa shule ya msingi ya Mbuyuni, Oysterbay, jijini Dar es salaam wakati wa sherehe fupi ya kuwaaga rasmi walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo ambayo ana historia nayo ndefu sana kwani ndipo yeye mwenyewe aliposomea elimu ya msingi toka darasa la kwanza hadi la saba kabla hajarudi tena hapo kama mwalimu na kufanya kazi kwa miaka 17 mfululizo leo February 17, 2016.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiagana na mmoja wa wanafunzi wake wa darasa la sita mwenye ulemamavu na ambaye alimnunulia hicho kiti katika shule ya msingi ya Mbuyuni, Oysterbay, jijini Dar es salaam wakati wa sherehe fupi ya kuwaaga rasmi walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo ambayo ana historia nayo ndefu sana kwani ndipo yeye mwenyewe aliposomea elimu ya msingi toka darasa la kwanza hadi la saba kabla hajarudi tena hapo kama mwalimu na kufanya kazi kwa miaka 17 mfululizo leo February 17, 2016.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akigonganisha na wanafunzi wa shule ya msingi ya Mbuyuni, Oysterbay, jijini Dar es salaam wakati wa sherehe fupi ya kuwaaga rasmi walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo ambayo ana historia nayo ndefu sana kwani ndipo yeye mwenyewe aliposomea elimu ya msingi toka darasa la kwanza hadi la saba kabla hajarudi tena hapo kama mwalimu na kufanya kazi kwa miaka 17 mfululizo leo February 17, 2016. Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akigonganisha na wanafunzi wa shule ya msingi ya Mbuyuni, Oysterbay, jijini Dar es salaam wakati wa sherehe fupi ya kuwaaga rasmi walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo ambayo ana historia nayo ndefu sana kwani ndipo yeye mwenyewe aliposomea elimu ya msingi toka darasa la kwanza hadi la saba kabla hajarudi tena hapo kama mwalimu na kufanya kazi kwa miaka 17 mfululizo leo February 17, 2016.
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akigonganisha na wanafunzi wa shule ya
msingi ya Mbuyuni, Oysterbay, jijini Dar es salaam wakati wa sherehe
fupi ya kuwaaga rasmi walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo ambayo
ana historia nayo ndefu sana kwani ndipo yeye mwenyewe aliposomea elimu
ya msingi toka darasa la kwanza hadi la saba kabla hajarudi tena hapo
kama mwalimu na kufanya kazi kwa miaka 17 mfululizo leo February 17, 2016.

kama mwalimu na kufanya kazi kwa miaka 17 mfululizo leo February 17, 2016. Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli katika picha na wanafunzi wa darasa la sita ambao alikuwa akiwafundisha wakati wako darasa la tano hadi mwisho wa mwaka jana shule ya msingi ya Mbuyuni, Oysterbay, jijini Dar es salaam wakati wa sherehe fupi ya kuwaaga rasmi walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo ambayo ana historia nayo ndefu sana kwani ndipo yeye mwenyewe aliposomea elimu ya msingi toka darasa la kwanza hadi la saba kabla hajarudi tena hapo kama mwalimu na kufanya kazi kwa miaka 17 mfululizo leo February 17, 2016.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiagana na mmoja wa wanafunzi wake wa darasa la sita mwenye ulemamavu na ambaye alimnunulia hicho kiti katika shule ya msingi ya Mbuyuni, Oysterbay, jijini Dar es salaam wakati wa sherehe fupi ya kuwaaga rasmi walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo ambayo ana historia nayo ndefu sana kwani ndipo yeye mwenyewe aliposomea elimu ya msingi toka darasa la kwanza hadi la saba kabla hajarudi tena hapo kama mwalimu na kufanya kazi kwa miaka 17 mfululizo leo February 17, 2016.
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwaaga walimu na wanafunzi wa shule ya
msingi ya Mbuyuni, Oysterbay, jijini Dar es salaam baada ya sherehe
fupi ya kuwaaga rasmi walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo ambayo
ana historia nayo ndefu sana kwani ndipo yeye mwenyewe aliposomea elimu
ya msingi toka darasa la kwanza hadi la saba kabla hajarudi tena hapo
kama mwalimu na kufanya kazi kwa miaka 17 mfululizo leo February 17,
2016.
PICHA NA IKULU
SHARE
No comments:
Post a Comment