Mkuu
wa wilaya ya Hai,Anthony Mtaka akiongozana na Mchungaji wa Usharika wa
Nronga,Jorome Kimaro ,kulia kwake ni katibu na meneja wa Chama cha
Ushirika wa Maziwa cha Nronga Heln Ainea alipotembelea Chma hicho.
Mkuu
wa wilaya ya Hai,Anthony Mtaka akiteta jambo na Katibu wa Chama cha
Ushirika wa Maziwa cha Nronga Helen Ainea wakati wa mkutano mkuu wa 28
wa Ushirika huo uliofanyika katika kiwanda cha zamani cha maziwa cha
ushirika huo.
Mkuu
wa wilaya ya Hai,Anthony Mtaka akizungumza na wanachama wa chama cha
Ushirika wa Maziwa cha Nronga wakati wa mkutano mkuu wa 28 wa Ushirika
huo.
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Ushirika wa Maziwa cha Nronga.
Baba
Mchungaji wa Usharika wa Nronga,Jorome Kimaro akitoa neno wakati wa
ufunguzi wa mkutano wa 28 wa Ushirika wa Maziwa wa Nronga.
Baadhi ya wanachama.
Mwenyekiti
wa Chama cha Ushirika wa Maziwa cha Nronga wilayani Hai,Apansia Lema
akisoma taarifa mbele ya mgeni rasmi katika mkutano wa 28 wa chama
hicho.
SHARE
No comments:
Post a Comment