Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Spika, Dkt.Tulia Ackson baada
ya kuwasili kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere
jijini Dar es salaam kufungua Mkutano wa 21 wa Chama cha Wanansheria wa
Afrika ya Mashariki Novemba 25, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Chama cha Wanansheria
Afrika ya Mashariki, Wakili Nassor Hamis baada ya kuwasili kwenye Kituo
cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam
kufungua Mkutano wa 21 wa Chama cha Wanansheria wa Afrika ya Mashariki
Novemba 25, 2016. Wapili kushoto ni Naibu Spika, Dkt.Tulia Ackson,
Watatu kushoto Jaji Kiongozi, Frednand Wamabali, wanne kushoto ni
Mwanansheria Mkuu wa Serikali, George Masaju na kulia ni Waziri wa
Katiba na Sheria,Dkt Harrison Mwakyembe.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt,
Harrison Mwakyembe (kushoto) na Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson
baada ya kuwasili kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius
Nyerere jijini Dar es salaam kufungua Mkutano wa 21 wa Chama cha
Wanansheria wa Afrika ya Mashariki Novemba 25, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Mkutano wa Mwaka
wa 21 wa Chama cha Wanasheria Afika ya Mashariki kwenye Kituo cha
Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Novemba
25, 2016.
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza katika mkutano wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Novemba 25, 2016.
Baadhi
ya washiriki wa Mkutano wa 21 wa mwaka wa Chama cha Wanansheria
Afrika Mashariki wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati
alipofungua mkutano huo kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha
Julius Nyerere jijini Dar es salaam Novemba 25, 2016.
aziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Rais wa Chama cha Wanansheria Afrika
Mashariki Wakili Nassor Hamis Mohmmed (kushoto) na Waziri wa Katiba na
Sheria, Dkt.Harrison Mwakyembe (kulia) baada ya kufungua Mkutano wa
Mwaka wa 21 wa Chama cha Wanasheria Afrika ya Mashariki kwenye Kituo
cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam
Novemba 25, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa kiwa katika picha na ya pamoja na washiriki wa
Mkutano wa 21 wa Wanansheria Afrika ya Mahariki kwenye Kituo cha
Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Novemba
25, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Waziri wa Katiba na Sheria Dkt.
Harrison Mwakyembe baada ya kufungua mkutano wa 21 wa Chama cha
Wanasheria Afrika Mashariki kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha
Julius Nyerere jijini Dar es salaam Novemba 25, 2016.
SHARE
No comments:
Post a Comment