Waziri wa
Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akionesha
moja ya fomu ya usajili wa dawa za tiba asili kundi la pili ,uzinduzi
huo ulifanyika kwenye ukumbi wa wizara,kushoto ni Mwenyekiti wa Baraza
la Tiba Asili/Mbada Dkt. Edmund Kayombo
Waziri
Ummy Mwalimu akikata utepe kuashiria uzinduzi wa fomu hizo ambazo
litatumiwa na waganga wa tiba asili/mbadala watakaogundua dawa
Katika
uzinduzi huo pia Waziri Ummy alizindua kadi mpya ya chanjo ya
Manjano(yellow Fever),pichani akionesha utofauti wa kadi za zamani na
kadi mpya,ambapo amewasihi wananchi kuacha kuwatumia vishoka kupata kadi
hizo bali kwenda kwenye vituo maalumu vinavyojulikana vinatoa chanjo
hiyo,kulia ni Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Otilia Gowele
Waziri wa
Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto akionesha mfano wa kadi
hiyo ambayo ina kurasa nyingi tofauti na kadi ya zamani(picha na Wizara
ya Afya)(P.T)
SHARE
No comments:
Post a Comment