Mkurugenzi
wa Wateja Binafsi wa Benki ya NBC, Filbert Mponzi (katikati),
akizungumza wakati wa droo kubwa ya Kampeni ya akaunti ya Malengo ya
benki hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Mkazi wa Dar es
Salaam Aldo Aidan Nsuha na mkazi wa Mtwara, Lawrence Cletus Njozi
walijishindia kila mmoja Toyota Hilux double cabin mpya ya mwaka 2016
katika kampeni hiyo iliyochukua muda wa miezi mitatu. Kushoto ni Meneja
wa Bidhaa za Kuwekeza Dorothea Mabonye na Meneja Masoko wa NBC, Alina
Maria Kimaryo.
Mkurugenzi
wa Wateja Binafsi wa Benki ya NBC, Filbert Mponzi (katikati),
akizungumza wakati wa droo kubwa ya Kampeni ya akaunti ya Malengo ya
benki hiyo jijini Dar es Salaam jana. Mkazi wa Dar es Salaam Aldo Aidan
Nsuha na mkazi wa Mtwara, Lawrence Cletus Njozi walijishindia kila
mmoja Toyota Hilux double cabin mpya ya mwaka 2016 katika kampeni hiyo
iliyochukua muda wa miezi mitatu. Kushoto ni Meneja wa Bidhaa za
Kuwekeza Dorothea Mabonye na Meneja Masoko wa NBC, Alina Maria Kimaryo.
Meneja
Masoko wa NBC, Alina Maria Kimaryo (kulia), akizungumza kwa simu na
mmoja wa washindi wa kampeni ya akaunti ya Malengo katika droo
iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Mkazi wa Dar es Salaam Aldo
Aidan Nsuha na mkazi wa Mtwara, Lawrence Cletus Njozi walijishindia
kila mmoja Toyota Hilux double cabin mpya ya mwaka 2016 katika kampeni
hiyo iliyochukua muda wa miezi mitatu. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa
Wateja Binafsi, Filbert Mponzi, Meneja wa Bidhaa za Kuwekeza Dorothea
Mabonye na aliyesimama ni Mkaguzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha
(GBT), Bakari Maggid.
SHARE
No comments:
Post a Comment