TRA

TRA

Monday, March 13, 2017

DKT. MGWATU AWAAGIZA WATUMISHI KUZIBA MIANYA YA UVUJAJI MAPATO VIVUKO VYA KIGONGO-BUSISI

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


GWADU
 Mtendaji Mkuu wa Wakala waUfundi na Umeme TEMESA Dkt.Mussa Mgwatu akijibu swali la mmoja wa wafanyakazi wa vivuko vya Kigongo/ Busisi wakati alipokua akisikiliza changamoto na kero zinazowakabili wafanyakazi wa vivuko hivyo. Pembeni yake ni Meneja wa TEMESA Mkoa wa Mwanza Mhandisi Ferdinand Mishamo.
GWADU 1
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi naU meme TEMESA Dkt. Mussa Mgwatu akimsikiliza mtaalamu wa mifumo yako mpyutakatika kitengo cha TEHAMA(ICT) Msese Mgini alipokua katika ziara yake katika vivuko vya Kigongo / Busisi mkoani Mwanza.
GWADU 2
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme TEMESA Dokta Mussa Mgwatu akisisitiza jambo wakati akizungumza na wafanyakazi wa vivuko vya Kigongo Busisi vinavyomilikiwa na TEMESA mkoani Mwanza wakati wa kikao chake na wafanyakazi hao. Kushoto kwake ni Meneja wa Wakala wa Ufundi na Umeme TEMESA Mkoa wa Mwanza Mhandisi Ferdinand Mishamo, Mhandisi Michael Myaka na Mkuu wa vivuko Atiki Abdalah.
GWADU 3
Wafanyakazi wa Vivuko vya Kigongo-Busisi vinavyomilikiwa na Wakala wa Ufundi naUmeme TEMESA Mkoa wa Mwanza wakimsikiliza Dkt. Mussa Mgwatu hayupo picha ni wakati alipokua akizungumza nao kuhusiana na changamoto mbalimbali wanazokumbana nazo katika mazingira ya kazi zao kivukoni hapo.
GWADU 4
 Mmoja wa Manahodha wa vivuko vinavyotoa huduma kati ya Kigongo na Busisi Kelvin Willy akimuuliza swali Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme TEMESA Dkt. Mussa Mgwatu (hayupo pichani)wakati alipokua akisikiliza kero za wafanyakazi hao kivukoni hapo.
GWADU 5
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme TEMESA Dkt. Mussa Mgwatu aliyeshika kitabu akiagana na baadhi ya watumishi wa vivuko vinavyotoa huduma kati yaKigongo-Busisi mara baada ya kumaliza kikao na watumishi hao jijini Mwanza.

Picha zote na Alfred Mgweno – TEMESA
…………..
Na Alfred Mgweno – TEMESA, Mwanza
MtendajiMkuuwaWakalawaUfundinaUmeme(TEMESA)Dkt. MussaMgwatuamefanyaziarakatikavivukovyaKigongo/BusisimkoaniMwanzavinavyosimamiwanaWakalahuonakujioneautendajikazi wake. Akiongeanawatumishiwavivukohivyobaadayakutembeleanakukaguamiundombinuyake,Dkt. Mgwatualiwatakawatumishihaokuongezabidiiyakazinakuzibamianyayauvujajiwamapatoilikuhakikishakuwamapatoyanayopatikananihalisi.
KatikaziarahiyoDkt. Mgwatualitembeleapiachumbamaalumu cha mifumoya TEHAMA inayosimamiaukatajinautumiajiwatiketinakujioneajinsiinavyofanyakazi. Aliwatakawataalamuwakitengohichokujiridhishakamamifumohiyoinafanyakaziipasavyonawalahaitoimwanyawakuhujumumapato. Alisema“tunafanyauhakikiwamatumiziyamifumoya TEHAMA katikakituohikinaikibainikamifumohiyoimechezewatutachukuahatua kali”.
Awalikatikakikaohichonawatumishi, MenejawaWakalawaUfundinaUmemeTEMESA MkoawaMwanzaMhandisi Ferdinand MishamoalimuelezeaMtendajiMkuuchangamotombalimbaliambazowanakumbananazokatikautendajikazikituonihapoikiwanipamojanauchakavuwavivuko, ukosefuwausafirikwawatumishinaupungufuwawafanyakaziwakadaza unahodhanaubaharia.
Dkt. MgwatualikuwamkoaniMwanzakwaajiliyakujioneautendajikaziwavivukovyaMV Misungwi, MV SengeremanaMV SabasabaambavyovyotevinatoahudumakatiyaKigongonaBusisiwilayaniMisungwi

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger