Wajumbe
wa kamati ya kudumu ya bunge ya Miundombinu ya Bunge la Jamhuri ya
Muungano Tanzania wakiwasili kwenye ofisi za Tigo Jijini
Dar Es salaam leo |
Mkurugenzi Mtendaji wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez akiwakaribisha wajumbe wa kamati ya
kudumu ya Miundo mbinu, mara baada ya kuwasili katika ofisi za Tigo Kijitonyama leo. |
Mkurugenzi Mtendaji wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez akiwakaribisha wajumbe wa kamati ya
kudumu ya Miundo mbinu, mara baada ya kuwasili katika ofisi za Tigo Kijitonyama leo. |
Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya bunge ya Miundo mbinu, Prof. Norman
Sigalla akifafanua jambo kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez na mjumbe wa kamati hiyo. |
Mkurugenzi
Mtendaji wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez akiongea na wajumbe wa
kamati ya kudumu ya bunge ya miundombinu kwenye kikao kilichofanyika leo
ofisi za Tigo jijini Dar Es Salaam.
|
Mkurugenzi
Mtendaji wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez akifafanua jambo kwa
wajumbe wa kamati ya kudumu ya bunge ya miundombinu kwenye kikao
kilichofanyika leo ofisi za Tigo jijini Dar Es Salaam.
|
. Mjumbe wa kamati ya Miundombinu ya bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mh. Anna Tibaijuka
akiongea na wafanyakazi wa Tigo |
Ofisa Mkuu wa Kitengo cha Ufundi Tigo,Jerome Albou, akifafanua jambo kwa wajumbe wa kamati ya
miundombinu ya bunge la Tanzania walipotembelea ofisi za Tigo leo |
. Mjumbe wa kamati ya Miundombinu ya bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mh. Anna Tibaijuka
akiongea na wafanyakazi wa Tigo |
Mkurugenzi Mtendaji wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez akiongea na
wajumbe wa kamati ya kudumu ya bunge ya miundombinu kwenye kikao kilichofanyika
leo ofisi za Tigo jijini Dar Es Salaam.
wajumbe wa kamati ya kudumu ya bunge ya miundombinu kwenye kikao kilichofanyika
leo ofisi za Tigo jijini Dar Es Salaam.
SHARE
No comments:
Post a Comment