Katibu wa Chama cha Riadhaa
Mkoani Tanga(RT) Hassan Mwago mba akizungumza na waandishi wa habari leo
kuishukuru kampuni ya Mkwambi Group of Campainers kufadhili mashindano
ya Riadhaa Mkoani Tanga ya Tanga City Marathon yatakayo fanyika April
15 mwaka huu katikati ni Mratibu wa Mashindano hayo Juma Mwajasho kulia
ni Meneja Mkuu wa Mkwabi Group Of Campainers,Kawkab Hussein

Mratibu wa Mashindano hayo Juma Mwajasho akisistiza jambo kwenye mkutano na waandishi wa Habari Mkoanoi Tanga leo |
Sehemu ya Waandishi wa
Habari Mkoani Tanga wakiwa kwenye harakati za kuchukua
matukio
Habari Mkoani Tanga wakiwa kwenye harakati za kuchukua
matukio
Sehemu ya Waandishi wa Habari Mkoani Tanga wakiwa kwenye harakati za kuchukua
matukio
matukio
Sehemu ya Waandishi wa Habari Mkoani Tanga wakiwa kwenye harakati za kuchukua matukio
KAMPUNI ya Mkwabi Super Market
imejitosa kudhamini Mashindano ya Tanga City Marathon kwa kuwekeza kiasi
cha sh.milioni 16 ikiwa ni mkakati wa kurudisha hamasa na kuinua mchezo
huo mkoani Tanga
imejitosa kudhamini Mashindano ya Tanga City Marathon kwa kuwekeza kiasi
cha sh.milioni 16 ikiwa ni mkakati wa kurudisha hamasa na kuinua mchezo
huo mkoani Tanga
Hatua ya Kampuni hiyo ambaye
imekuwa mstari wa mbele kusaidia juhudi mbalimbali za michezo mkoani
Tanga imelenga kurudisha hamasa na ushindani kwa washiriki.
imekuwa mstari wa mbele kusaidia juhudi mbalimbali za michezo mkoani
Tanga imelenga kurudisha hamasa na ushindani kwa washiriki.
Akizungumza na wandishi wa habari leo Mratibu wa Mashi ndano hayo Juma
Mwajasho alisema mbio hizo zitaanza kutimua vumbi Aprili 15 mwaka huu
katika Jiji la Tanga.Mwajasho alisema mashindano hayo yatasaidia kuongeza ari ya
michezo na
kuamsha hamasa za wapenda riadha katika mkoa wa Tanga na lengo ni
kukuza michezo huo ambao utakuwa endelevu. Alisema washiriki wa mashindano hayo kuanzia watoto wa miaka 12
kuendelea ambao watakimbia mbio za kilometa tano,10,21, ambapo Mkwabi
Super makert .
Alisema mbio za kilometa tano fomu ya usajili itakuwa shilingi
1000,mbio za kilometa 10 sh 5,000 na mbio za kilometa 20 fomu itakuwa sh
8,000 ambapo mshindi wa kwanza ataondoka na kitita cha Tsh milion 10 na
mshindi wa pili shilingi laki 700,000,mshindi wa tatu na wanne
watapokea Tsh 500,000 na washindi wengine watapata kifuta jasho kila
mmoja laki moja.
Katibu mkuu wa chama cha riadha mkaoa wa Tanga Hassan Mwagomba alisema
mashindano hayo kwao ni faraja hivyo wameyapokea kwa moyo nakwamba
wataunga mkono juhudi hizo ili kuweza kufanikiwa mbio za Tanga City
marathoni mwaka huu wa 2017 .
Mwagomba alieza kuwa mashindano hayo ya mbio yataanzia katika eneo la
Mkwabi Super Makert na kuzunguka kwaminchi,kisha kuishia
katika uwanja
wa mkwakwani.Alisema lengo kubwa la mashindano hayo ni kufufua riadha mkoani hapa ili
kuweza kuleta mafanikio na yatashirikisha wananchi wa mkoa mzima
kwenye halmashauri 11 na yatakuwa endelevu. ‘’Tunatarajia kupata wataalam kutoka jijini Dar es salaam watakao
wapima afya zao na usajili tayari umekwisha anza kwani zimebaki siku
chache hivyo tuko kwenye hatua nzuri ya maandalizi’’alisema
Mwagomba

Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha
SHARE
No comments:
Post a Comment