Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
usiku huu anahudhuria Mkutano wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama
unaojulikana kama SADC Double Troika, mjini Mbabane Swaziland. Mkutano
ambao unajadili kwa kina hali tete ya usalama katika Nchi ya Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Kongo( DRC) na Nchi ya Lesotho, ambapo Tanzania ni
Mwenyekiti wa Asasi hiyo.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
SHARE
No comments:
Post a Comment