Mkurugenzi
Idara ya Habari( MAELEZO) Dkt Hassan Abbasi akitoa mada katika kikao
kazi cha maafisa Mawasiliano Serikalini kinachoendelea Mjini Dodoma Leo
Marchi 17,2017.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo
Bibi Nuru Millao akifuatilia mada katika kikao kazi cha maafisa
Mawasiliano Serikalini kinachoendelea Mjini Dodoma Leo March 17,2017.
Baadhi
ya Maafisa Mawasiliano Serikalini wakifuatilia mada katika kikao kazi
cha maafisa Mawasiliano Serikalini kinachoendelea Mjini Dodoma Leo March
17,2017.Picha zote na Raymond Mushumbusi (WHUSM) Dodoma
SHARE
No comments:
Post a Comment