Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akitia saini makubaliano yaliyofikiwa katika mkutano wa kwanza wa Nchi
zinazopakana na Bahari ya Hindi (INDIAN ASSOCIATION-IORA) akimuwakilisha
Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt John Pombe Magufuli,mkutano huo
ulifanyika leo katika ukumbi wa Balai Sindang Mjini Jakarta Indonesia,(kushoto) Rais wa Sychells Mhe,Danny Faure, [Picha Ikulu.]

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na
Waziri wa Ncho Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Issa
Haji Ussi (katikati) wakiteta jambo wakati wa vikao mbali mbali katika
mkutano wa kwanza wa Nchi zinazopakana na Bahari ya Hindi (INDIAN
ASSOCIATION-IORA) akimuwakilis ha Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt John Pombe Magufuli,mkutano huo ulifanyika leo katika ukumbi wa Balai
Sindang Mjini Jakarta Indonesia,(kushoto) waziri wa
Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe,Hamad Rashid Mohamed na Naibu
Waziri wa Mambo ya Nje Mhe,Susan A,Kolimba,[Picha Ikulu.]
SHARE
No comments:
Post a Comment