Wanadada wa "A-Town Show" ambapo bendi ya Mount Meru Rickinest waliporomosha burudani kubwa kwenye ukumbi wa Triple A jijini humo, wakiwa katika poz la picha.
(Picha zote na Woinde Shizza,Arusha) |
Wasanii wa bendi ya Mounti Meru Rickinest , vijana wa Kaskazini, wakitoa burudani kwenye ukumbi wa Triple A jijini humo.
Waimbaji wa bandi ya Rickinest wakiwa wanaserebuka pamoja na wadau wa muziki wa bandi mkoani Arusha
Waimbaji wakiwa wanaendelea kupata burudani na mashabiki
Wmachachari wa bendi ya Rickinest wakionyesha uwezo wao wa kukata mauno jukwaani
Wapenzi wa burudani waliohudhuria onyesho la bendi ya Rickinest
Wapenzi wa burudani waliohudhuria onyesho la bendi ya Rickinest
Wanadada wa A-Town bendi ya Mount Meru Rickinest wakiwa katika pozi
Omary Matelephone, (kushoto), akiwa na shabiki mwngine wa muzikikwenye onyesho lililopambwa na bendi ya
Rickinest
Rickinest
SHARE
No comments:
Post a Comment