Kaimu Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Ndg:Jokate Urban Mwengelo akishukuru jambo mara baaada ya kuwasili katika eneo hilo kata ya Hombolo |
Mjumbe wa Baraza kuu Uvccm Taifa kupitia Mkoa wa Dodoma Ndg:Egla Mamoto akizungumza katika Mkutano wa Wanachama kata ya Chang’ombe. |
Kaimu Mkuu wa Idara ya
Uhamasishaji na Chipukizi Ndg:Jokate Urban Mwengelo wa Nne kulia
akiwasili kata ya Hombolo alipokwenda kukabidhi kadi kwa wanachama
wapya.
Kaimu Mkuu wa Idara ya
Uhamasishaji na Chipukizi Ndg:Jokate Urban Mwengelo akizungumza na
vijana na wanachama wa chama cha mapinduzi kata ya Hombolo mkoan Dodoma
Kaimu Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Ndg:Jokate Urban
Mwengelo akitoa kadi kwa wanachama wapya wa chama cha mapinduzi kata
ya Hombolo mkoan Dodoma
Wanachama wapya wakiala kiapo cha chama
Kaimu Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Ndg:Jokate Urban
Mwengelo akitoa kadi kwa wanachama wapya wa chama cha mapinduzi kata
ya Hombolo Mjini mkoan Dodoma
Kaimu Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Ndg:Jokate Urban
Mwengelo wa pili kulia akimuaga mwenyekiti wa UWT kata ya Hombolo Mjini .
Mwengelo wa pili kulia akimuaga mwenyekiti wa UWT kata ya Hombolo Mjini .
Kaimu Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Ndg:Jokate Urban
Mwengelo akizungumza na Wanachama wa UVCCM Chuo kikuu UDOM Mkoan dodoma.
Mwengelo akizungumza na Wanachama wa UVCCM Chuo kikuu UDOM Mkoan dodoma.
Makada wa chama cha Mapinduzi wakijiselfii na kaimu Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi
Mjumbe wa Baraza kuu Uvccm Taifa
kupitia Mkoa wa Dodoma Ndg:Egla Mamoto akizungumza katika Mkutano wa
Wanachama kata ya Chang’ombe.
SHARE
No comments:
Post a Comment