Mbunge
wa Nzega Mjini, Hussein Bashe (CCM), akikabidhi gari la wagonjwa kwa
Mwenyekiti wa Kata ya Nzega ndogo, William Jumanga kwa ajili ya Zahanati
ya Zogolo iliyopo wilayani Nzega mkoani Tabora.
(PICHA NA FIDELIS FELIX).
Mbunge
wa Nzega Mjini, Hussein Bashe (CCM), akizungumza na mgonjwa Agnes
Nobert aliyekuwa amelazwa katika Zanati ya Zogolo baada ya kutembelea
juzi wilayani Nzega mkoani Tabora juzi.
Mbunge
wa Nzega Mjini, Hussein Bashe (CCM), akizungumza katika mkutano wa
hadhara na wananchi wa Kata ya Nzega ngodo kabla ya kuwakabidhi gari la
wagonjwa juzi
Mbunge
wa Nzega Mjini, Hussein Bashe, akionyesha gari la wagonjwa
alilolikabidhi kwa viongozi wa Kata ya Nzega ndogo kwa ajili ya Zahanati
ya Zogolo iliyopo wilayani Nzega mkoani Tabora juzi.
Mbunge
wa Nzega Mjini, Hussein Bashe (CCM), akizungumza na Mkurugenzi wa
Halmashauri ya Mjini wa Nzega baada ya kukagua ujenzi wa Sekondari ya
Nzega ndogo juzi.
SHARE
No comments:
Post a Comment