TRA

TRA

Monday, April 24, 2017

WAUGUZI HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI WASHEREHEKEA GET TOGETHER PARTY 2017

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !

Baadhi ya wanakamati wakiwa katika picha ya pamoja wakiongozwa na Mwenyekiti wa kamati hiyo, Segla Mgaya (wa tano kushoto) ambaye ni Afisa Muuguzi wa hospitali hiyo
Mkurugenzi wa Uuguzi Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH, Agnes Mtawa akizungumza na wauguzi hao wakati wa kusheherehekea Get Together Party 2017 iliyofanyika Dar es Salaam jana April 22, katika Ukumbi wa Navy Beach Kigamboni ambapo alipata nafasi ya kuanza kutowa salamu kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali hiyo, Profesa Lawrence Museru kwakutofika,

Mtawa alisema, pokeeni salamkutoka kwa mpendwa wetu Mkurugenzi, anawasalimia sana na kuwatakia heri katika sherehe hii na amesema Mungu akitupa uzima mwakani anaomba taarifa apate mapema iliaweze kuserebuka nasi na kwakumalizia salamu hizo alisema pia naomba mpoke salam zake
Mkurugenzi wa Uuguzi Hospitali ya Taifa Muhimbili, Agnes Mtawa (kushoto) akipokea Ua kutoka kwa mtunza hazina wa Kamati hiyo, Matilda Mrina ambaye ni Afisa Mkuu Msaidizi Daraja la Kwanza .

Baadhi ya Wakuu wa Idara na wauguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili wakiwa katika Gari kuelekea katika kusheherekea sherehe yao iliyofanyika Navy Beach Kigamboni Dar es Salaam jana

Mkurugenzi wa Uuguzi Hospitali ya Taifa Muhimbili, Agnes Mtawa akizindua mchezo wa mazoezi kwa kuruka kamba mbele ya Wauguzi (pichani hawapo) wakati wa kusheherehekea, Get Together Party 2017 iliyofanyika Dar es Salaam jana April 22, 2017 katika Ukumbi wa Navy Beach Kigamboni , ambapo kulikuwa na michezo mbalimbali ya kuchangamsha mwili ikiwemo, kuruka kamba, kucheza karata, kuogele, kucheza mpira na Burudani ya nyimbo mbalimbali kutoka kwa kikundi cha wasanii cha wauguzi kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili, michezo hiyo iliyoratibiwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Segla Mgaya.
 

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger