TIMU ya Tanzania ya vijana wenye umri chini ya miaka
17, Serengeti Boys, imefanikiwa kuinyuka Angola mabao 2-1 katika mchezo wake wa
pili wa michuano ya kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana wenye umri wa miaka
17 uliopigwa jioni hii Mei 18, 2017 nchini Gabon.
Kwa matokeo hayo, Serengeti Boys sasa
wamejikusanyia pointi 4 na mabao 2 ya kufunga na kufunga bao moja wakiwa
wanaongoza kwenye kundi B, lenye Mabjnwga watetezi wa kombe hilo, Mali, Niger
na Angola.
SHARE
No comments:
Post a Comment