Leo May 16, Kupitia Instagram ya mpenzi na mama watoto wa msanii Diamond Platnumz, Zari ameomba watu wamuweke kwenye maombi mzazi mwenzake na aliyekuwa mume wake anayejulikana kama Ivan.
Zari amendika Pray for Ivan Don akiwa anamaanisha muombeeni Ivan ingawa hakuweka wazi kuwa mzazi mwenzake huyo amepatwa na tatizo gani.
Ivan na Zari walifanikiwa kupata watoto watatu kabla ya Zari kuwa na mahusiano na Diamond Platnumz.
SHARE
No comments:
Post a Comment