Benki ya Dunia
inatarajia kutoa dola milioni 50 kama msaada wa dharura nchini Somalia
ambayo imeathiriwa kwa kiasi kikubwa na ukame mkali.
Benki ya maendeleo ya Afrika ilisema mwezi uliopita kuwa ingetoa zaidi ya dola bilioni moja kukabiliana na ukame katika bara la Afrika.
Sehemu kadhaa za bara la Afrika zinakumbana na ukame mkali huku zaidi ya watu milioni 26 wakikabiliwa na njaa kali.
CHANZO: BBC
SHARE
No comments:
Post a Comment