Mfalme Salman wa Saudia amemfuta kazi mrithi wake
Mfalme Salman wa
Saudia amebadilisha mkondo wa urithi na kumfanya mwanawe wa kiume
Mohammed bin Salman kuwa mwanamfalme na kuwa wa kwanza kumrithi.
Mohammed bin Salman mwenye umri wa miaka 31 ataendelea kuwa waziri wa ulinzi mbali na kuwa naibu waziri mkuu.
Mabadiliko hayo yalitangazwa katika misururu ya amri za kifalme.
Chombo cha habari cha Saudia kimesema kuwa mfalme ametaka raia wa taifa hilo kumtii mwanamfalme huyo mpya siku ya Jumatano.
CHANZO: BBC
SHARE









No comments:
Post a Comment