Shirika la utafiti
wa kisayansi kutoka nchini Netherlands limeanza kufanya majaribio kwa
wanadamu ya chanjo ya kupunguza kiwango cha mafuta katika mwili wa
mwanaadamu na kwamba endapo utafiti huo utafanikiwa; wana matumaini kuwa
chanjo hiyo itakuwa na uwezo wa kuzuia magonjwa ya moyo.
- Dawa za maumivu 'husababisha maradhi ya moyo'
- Kwa taarifa yako, ndoa inaimarisha moyo
- Daktari Mtanzania atambuliwa Marekani
- Matunda na mboga hupunguza hatari ya ugonjwa wa moyo
Wanasayansi hao wanaamini kuwa chanjo hiyo inaweza kutumika kama njia mbadala wa zilizokuwa za kupunguza mafuta , pamoja na kuwasaidia, mamilioni ya watu ulimwenguni kupambana na mafuta yasiyohitajika mwilini.
Inatarajiwa kuchukua takriban miaka sita ili vipimo hivyo kukamilika.
CHANZO: BBC
SHARE
No comments:
Post a Comment