Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akifungua Methadone Clinic ambao ni maalum kwa kuwahudumia na kuwapa
ushauri nasaha waathirika wa madawa ya kulevya kwenye . hospitali ya
Rufaa ya Mbeya Julai 31, 2017. Kushoto ni Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph
Mbilinyi.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akipata maelezo kutoka kwa Salim Jessa (wanne kushoto) ambaye ni
Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha Malumalu kilichopo Iyunga jijini
Mbeya wakati alipoembelea kiwanda hichi Julai 31, 2017. Watatu kushoto
ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akipata maelezo kutoka kwa Salim Jessa (kulia) ambaye ni Mkurugenzi
Mtendaji wa kiwanda cha Malumalu kilichopo Iyunga jijini Mbeya wakati
alipoembelea kiwanda hicho Julai 31, 2017. Kushoto kwake ni Naibu Spika
wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akipokea maua kutoka kwa mtoto , Felista (4) wa Shule ya Wenye Ulemavu
ya Child Support Tanzania ya jijini Mbeya baada ya kuwasili kwenye
kiwanda cha vinywaji baridi cha SBS – PEPSI kilichopo eneo la Iyunga
jijini Mbeya Julai 31, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na watoto wa Shule Wenye Ulemavu ya Child Support Tanzania
ya jijini Mbeya baada ya kuwasili kwenye kiwanda cha vinywaji baridi cha
SBS- Pepsi kilichopo Iyunga jijini Mbeya Julai 31, 2017. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akitembelea kiwanda cha vinywaji baridi cha SBS- Pepsi kilichopo eneo
la Iyunga jijini Mbeya, Julai 31, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiwapungia wakazi wa Mbeya baada ya kuwasili kwenye Viwanja vya Ruanda
Nzove jijini humo kuhutubia mkutano wa hadhara, Julai 31, 2017. Kushoto
ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta jambo na Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akihutubia mkutano wa hadhara kwenye Viwanja vya Ruanda Nzove jijini
Mbeya Julai 31, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
SHARE
No comments:
Post a Comment