Balozi wa Tanzania nchini Saud Arabia, HE Hemed Mgaza, wa pili kutoka
kulia, akiwa na mfanyabiashara na Mkurugenzi wa Kampuni ya MIT Group of
Companies kutoka Saud Arabia, Sameer Saleh Ahmed, wa pili kutoka kushoto
wakiwa ndani ya banda la Kampuni ya Chai Bora kwenye maonyesho ya
Kimataifa ya Sabasaba nchini Tanzania.
Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia, Mh Hemed Mgaza, akipata
maelekezo yanayohusu utalii wa Tanzania kutoka kwa Aloyce Songay,
Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni Binafsi ya Hifadhi Mazingira Karatu
(HIMAKA).
Balozi wa Tanzania nchini Saud Arabia, HE Hemed Mgaza, akiwa kwenye
banda la Mamlaka ya Korosho Tanzania katika Maonyesho ya Kimataifa ya
Sabasaba nchini Tanzania.
Balozi wa Tanzania nchini Saud Arabia, HE Hemed Mgaza, akiwa kwenye
banda la Wizara ya Maliasili na Utalii katika Maonyesho ya Kimataifa ya
Sabasaba nchini Tanzania.
SHARE
No comments:
Post a Comment