Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro (aliyesimama), akizungumza
na wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama mkoa wa kaskazini na Kusini
Pemba (hawapo pichani) leo wakati alipofanya ziara ya kikazi katika
Kisiwa hicho, kulia ni Mkuu wa mkoa wa Kaskazini Pemba Omar Athuman, IGP
Sirro yupo kisiwani humo kwa ziara ya kikazi yenye lengo la
kujitambulisha na kuzungumza na watendaji wa Jeshi hilo.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro, akimsikiliza Mkuu wa mkoa
wa Kaskazini Pemba Omar Athuman (aliyesimama), wakati akitoa neno Mbele
ya wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama mkoa wa Kaskazini na Kusini
Pemba, IGP Sirro yupo kisiwani humo kwa ziara ya kikazi yenye lengo la
kujitambulisha na kuzungumza na watendaji wa Jeshi hilo.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, akipokea salamu ya heshima
ya kijeshi kutoka kwa Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) wakati
akiwasili Makao Makuu ya Jeshi la Polisi mkoa wa Kusini Pemba leo, IGP
Sirro yupo kisiwani humo kwa ajili ya ziara ya kikazi yenye lengo la
kujitambulisha na kuzungumza na watendaji wa Jeshi hilo.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, akizungumza na Askari wa
kikosi cha kutumia ghasi (FFU), Mara baada ya kupokea salamu ya heshima
ya kijeshi, IGP Sirro yupo kisiwani Pemba kwa ziara ya kikazi yenye
lengo la kujitambulisha na kuzungumza na watendaji wa Jeshi hilo huku
akiwataka askari kufanya kazi kwa weledi na kuhakikisha suala la uhalifu
na wahalifu linadhibitiwa.
Wajumbe
wa kamati ya ulinzi na usalama mkoa wa kaskazini na kusini Pemba,
wakimsikiliza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, wakati
akitoa neno kwenye kikao kazi Mara baada ya kuwasili kisiwani humo, IGP
Sirro yupo kisiwani Pemba kwa ziara ya kikazi yenye lengo la
kujitambulisha na kuzungumza na watendaji wa Jeshi hilo.
( Picha zote na Demetrius Njimbwi - Jeshi la Polisi)
SHARE
No comments:
Post a Comment