• About
  • Services
  • Products
  • Blog
  • Contact Us

NCHI YANGU

Menu
  • Home
  • Lifestyle
    • Sub Menu 1
    • Sub Menu 2
    • Sub Menu 3
  • Sports
    • Sub Menu 1
      • Sub Menu 1
      • Sub Menu 2
      • Sub Menu 3
    • Sub Menu 2
    • Sub Menu 3
  • Post
  • Fitness
  • Music
  • Travel
  • Politics
  • Beauty

TRA

TRA

Wednesday, July 5, 2017

Home > > David Beckham ajitetea kwa kumpiga busu mwanawe

David Beckham ajitetea kwa kumpiga busu mwanawe

at 5:26 AM
Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


 
David Beckham akimpiga busu mwanawe wa kike mwenye umri wa miaka mitano mdomoni.

Nyota huyo wa zamani wa klabu ya Manchester United alikosolewa kwa kuchapisha picha akimpiga busu la mdomoni mwanawe wa kike Harper katika mtandao wa Instagram.

Akizungumza katika mahojiano ya moja kwa moja kupitia mtandao wa facebook, Beckham alisema kuwa ''tunataka kuwaonyesha wana wetu mapenzi''.

Mkewe David Beckham, Victoria pia alikosolewa kwa kuchapisha picha akimpiga busu mdomoni mtoto huyo wa kike mwaka uliopita
 
''Nilikosolewa kwa kumpiga busu mwanangu mwaka uliopita'',alisema. ''Pengine siwezi kumfanyia hivyo Brooklyn mwenye umri wa miaka 18 kwa kuwa ataona kama swala la kushangaza.Lakini nina mapenzi tele na wanangu''.

''Hivyo ndivyo nilivyolewa na Victoria na hivyo ndivyo tulivyo na watoto wetu''.

David Beckham, akimpiga busu mwanawe wa kike mwenye umri wa miaka mitano mdomoni

''Tunataka kuwaonyesha watoto wetu mapenzi na kuwalinda, kuwaangalia na kuwasaidia na unajua tuna mapenzi tele nao''.
Nyota wa filamu kutoka nchini Marekani Hilary Duff pia alipokea matusi mwaka uliopita baada ya kupigwa picha akimpiga busu mwanawe wa kiume katika eneo la Disneyland California. 

Kulikuwa na ujumbe uliomkosoa chini ya picha hiyo, lakini akijibu katika mtandao wa Instagram ,Hillary alitetea hatua yake ya kumpiga busu mwanawe.
Unknown

Author: Unknown

SHARE
  • Share
  • Tweet
  • Share
  • Pin
  • Share
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Fourni par Blogger CodeEnvoyer par emailBlogThis !Partager sur TwitterPartager sur FacebookPartager sur LinkedInÉpingler sur PinterestPartager sur StumbleUponVoter pour cet article sur HelloCoton

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Tupate kupitia Facebook

Popular Posts

  • ALIYEKUWA DIWANI WA KATA YA GIHANDU AJIUZULU
      Na Jumbe Ismailly -HANANG .  ALIYEKUWA diwani wa kata ya Gihandu,wilayani Hanang,Mkoani Manyara kwa tiketi ya Chama c...
  • Mashahidi wa Yehova wapigwa marufuku nchini Urusi
    Mahakama ya juu ya Urusi imepitisha uamuzi unaopiga marufuku madhehebu ya Mashahidi wa Yehova nchini humo.  Uamuzi huo umeamuru kufu...
  • Ahmadinejad azuiliwa kugombea tena urais wa Iran
    Baraza la uangalizi nchini Iran limemzuia rais wa zamani wa nchi hiyo Mahmoud Ahmadinejad kuwa mgombea katika uchaguzi wa rais utakaofan...

Popular Posts

  • ALIYEKUWA DIWANI WA KATA YA GIHANDU AJIUZULU
    ALIYEKUWA DIWANI WA KATA YA GIHANDU AJIUZULU
      Na Jumbe Ismailly -HANANG .  ALIYEKUWA diwani wa kata ya Gihandu,wilayani Hanang,Mkoani Manyara kwa tiketi ya Chama c...
  • Mashahidi wa Yehova wapigwa marufuku nchini Urusi
    Mashahidi wa Yehova wapigwa marufuku nchini Urusi
    Mahakama ya juu ya Urusi imepitisha uamuzi unaopiga marufuku madhehebu ya Mashahidi wa Yehova nchini humo.  Uamuzi huo umeamuru kufu...
  • Ahmadinejad azuiliwa kugombea tena urais wa Iran
    Ahmadinejad azuiliwa kugombea tena urais wa Iran
    Baraza la uangalizi nchini Iran limemzuia rais wa zamani wa nchi hiyo Mahmoud Ahmadinejad kuwa mgombea katika uchaguzi wa rais utakaofan...
  • SERIKALI IMETENGA SHILINGI BILIONI 11.4 KUBORESHA WAKALA WA NDEGE ZAKE
    SERIKALI IMETENGA SHILINGI BILIONI 11.4 KUBORESHA WAKALA WA NDEGE ZAKE
    Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye akiongea na wajumbe wa Menejimenti ya Wakala wa Ndege za S...
  • DAAH. DSTV KIBOKO HEBU NENDA SABASABA UONE MAMBO YAO
      Meneja Masoko wa Multichoice-Tanzania, Alpha Mria  na Afisa Masoko wa Multichoice Tanzania Shumbana Walwa kushoto  ...
  • Dalili tano za wanawake wanaochepuka |
    ...

Pages

  • Home
  • About Us
  • Contat Us
 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger