Rais
Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza wakati
akifungua mkutano wa sita wa watoa huduma za afya, wamiliki wa vituo vya
Afya, wataalamu wa Afya kutoka Afrika Mashariki ikiwemo Tanzania,
Kenya, Uganda, Uganda, Burundi, na mataifa ya nje ambao unaogozwa na
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy
Mwalimu Pamoja na mabalozi na viongozi mbali mbali wa serikalini na
sekta binafsi kujadili mustakabali wa sekta ya afya wa Tanzania na nchi
shiriki hasa jinsi ya kuboresha sekta binafsi.Mkutano
huo ulioandaliwa na Chama cha watoa huduma wa vituo vya Afya binafsi
nchini Tanzania (APHFTA),unatarajiwa kufanyika kwa siku mbili ndani ya
Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam. Picha na Kajunason, Globu
ya Jamii.
Waziri
wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (wa
tatu kulia) pamoja na viongozi wengine wa meza kuu wakimshikiliza Rais
Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakati akitoa hotuba
yake katika kungua mkutano wa sita wa watoa huduma za afya, wamiliki wa
vituo vya Afya, wataalamu wa Afya kutoka Afrika Mashariki ikiwemo
Tanzania, Kenya, Uganda, Burundi, na mataifa ya nje, unaofanyika kwa
siku mbili katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.
Sehemu
ya washiriki wa mkutano wa sita wa watoa huduma za afya, wamiliki wa
vituo vya Afya, wataalamu wa Afya kutoka Afrika Mashariki ikiwemo
Tanzania, Kenya, Uganda, Burundi, na mataifa ya nje ambao unaogozwa na
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy
Mwalimu Pamoja na mabalozi na viongozi mbali mbali wa serikalini na
sekta binafsi kujadili mustakabali wa sekta ya afya wa Tanzania na nchi
shiriki hasa jinsi ya kuboresha sekta binafsi. Mkutano huo ulioandaliwa
na Chama cha watoa huduma wa vituo vya Afya binafsi nchini Tanzania
(APHFTA),unatarajiwa kufanyika kwa siku mbili ndani ya Hoteli ya Hyatt
Regency jijini Dar es Salaam. Picha na Kajunason, Globu ya Jamii.
SHARE
No comments:
Post a Comment