TRA

TRA

Saturday, July 29, 2017

KAMISHNA JENERALI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI AKUTANA NA UONGOZI WA TAFEDA

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !



Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye, akiwa katika picha ya pamoja na ­­Wadau wa ­Vifaa vya Usalama dhidi ya majanga ya moto (TAFEDA), baada ya kufanya nao mazungumzo jijini Dar es Salaam  Julai 28, 2017.(PICHANAJESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI)


Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,ThobiasAndengenye (Katikati), akizungumza na Wadau wa Vifaa vya Usalama dhidi ya majanga ya moto (TAFEDA), walipokutana na kufanya kikao katika ukumbi wa Mikutano Makao Makuu ya Jeshi hilo, jijini Dar es Salaam Julai 28.

Mwenyekiti wa Wadau wa Vifaa vya Usalama dhidi ya majanga ya moto (TAFEDA), Mohamed Kaumbwa akitoa utambulisho wa ujumbe aliombatana nao, walipokutana na kufanya kikao na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye katika ukumbi wa Mikutano Makao Makuu ya Jeshi jeshi hilo jijini Dar es Salaam.

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger