Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla baada ya kuwasili
kwenye uwanja wa ndege wa Songwe kuanza ziara ya mkoa wa Mbeya Julai 28,
2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi baada ya kuwasili
kwenye uwanja wa ndege wa Songwe kuanza ziara ya mkoa wa Mbeya julai
28, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na viongozi wa mkoa wa Mbeya baada ya kuwasili kwenye
uwanja wa ndege wa Songwe kuanza ziara ya mkoa wa Mbeya Julai 28, 2017.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akivalishwa skafu na vija wa CCM, Green Guard bade ya kuwasili kwenye
ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela kuanza ziara wilayani humo
Julai 29, 2017. Kushoto kwake ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson
Mwansasu na kulia ni Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Amos Makalla. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na watumishi wa umma wa wilaya ya Kyela baada ya kupokea
taarifa ya mkoa huo kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla
(kushoto) kwenye ukumbi wa Halmashuri ya Wilaya ya Kyela Julai 29, 2017.
Kulia ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu.(Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya watumishi wa umma wa
wilaya ya Kyela wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati
alipozungumza naokwenye ukumbi wa Halmahauri ya wilaya ya Kyela akiwa
ktik ziara ya mkoa wa Mbeya julai 29, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)(
SHARE
No comments:
Post a Comment