Mancheter United wanakaribia kumsaini kiungo wa kati wa Chelsea Nemanja Matic.
Kuwasili kwake uga wa Old Trafford kutafuatia usajili wa mlinzi Victor Lindelof ambaye aljiunga kwa paunia milioni 31 kutoka Benfica na mshambuliaji Romelu Lukaku ambaye alijiunga kwa kima cha pauni milioni 75 kutoka Everton.
Hii ni mara ya pili Jose Maourinho anamsajili Matic baada ya kumsajli kwanza akiwa na Chelsea.
Mourinho alitumia pauni milioni 21 mwaka 2014 kumsaini mchezaji huyo kutoka Benfica kwa mara ya pili huko Stamford Bridge.
Mourinho spent £21m in January 2014 to bring in the player from Benfica for a second spell at Stamford Bridge.
Mchezaji alicheza mechi 35 wakati chelsea ilishinda ligi mwaka 2016-2017
SHARE
No comments:
Post a Comment