Dk Mary Nagu.
Profesa
Joseph Nagu ambaye ni mume wa Mbunge wa Jimbo la Hanang mkoani Manyara,
Dk Mary Nagu amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Akidhibitisha
kifo cha mume wake, Dk Nagu amesema kwamba marehemu alikuwa akipatiwa
matibabu Muhimbili kwa zaidi ya mwezi mmoja na jana alifariki dunia saa
12 jioni.
Alisema mume wake alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa figo na moyo kwa muda mrefu
SHARE
No comments:
Post a Comment