TRA

TRA

Friday, July 14, 2017

Mzee mwenye watoto 100 anasema ana nia ya kuongeza watoto zaidi

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


Kofi Asilenu mwenye umri wa miaka 80 ni baba wa watoto 100 na wake 12. 

Wakati ulimwengu ulipoadhimisha siku ya idadia ya watu duniani mwanamume mmoja alikuwa na sababu 100 za kusherehekea.

Kofi Asilenu mwenye umri wa miaka 80 ni baba wa watoto 100 na wake 12. Anaishi na familia yake katika kijiji chaAmankrom kilicho umbali wa kilomita 45 kutoka mji mkuu Acca.

Familia yake ni theluthi moja ya watu 600 katika kijiji hicho.
Anasema kuwa anataka familia kubwa kwa sababu hakuwa na ndugu.
Sina kaka wala shangazi,ndio sababu niliamua kuwa na watoto wengi ndio wapate kunipa maziko yaliyo mazuri nikifa.

Familia hiyo yake hata hivyoy imemgharimu pakubwa. anasema alikuwa mtu mwenye mali, lakini male hiyo ilipungua kutokana na gharama ya kuitunza familia yake kubwa

Kofi Asilenu anaonekama kuwa mwenye afya nzuri na hata anasema kuwa na watoto zaidi.

CHANZO: BBC

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger