Baba mtakatifu papa
Francis, ameongeza vigezo na utaratibu wa kuwatangaza watakatifu katika
kanisa katoliki, katika kile kinachoonekana kama mabadiliko makubwa
kufanywa katika kanisa hilo baada ya karne nyingi zilizopita.
Tabia ya kujia maisha yako hadi kufa kama njia ya kutekeleza sheria za kikristo, na kwamba kingeweza kukubaliwa na wakatoliki na inaweza kutumika kwa Wakatoliki ambao kwa hiari walichukua nafasi ya Wayahudi waliotakiwa kuuawa katika kambi za kifo za Nazi, kwa mfano.
Hali hiyo inaingia katika kipengele cha nne katika hatua za kutangazwa kwa watakatifu. Baada ya kufariki, uzuri wa Kikristo wa kipekee na sifa ya ukamilifu baada ya kifo ni kutangazwa mtakatifu ama mwenye heri.
SHARE
No comments:
Post a Comment