TRA

TRA

Tuesday, July 25, 2017

Ufaransa yapambana na moto wa msituni

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


 Ndege ya kuzima moto ikijaribu kuzima moto eneo la Carros 

Hali isiyotarajiwa ya upepo, joto na kiangazi kikali Kusini Mashariki mwa Ufaransa, imechangia kuenea kwa kasi kwa moto wa msituni, kote katika eneo hilo. 

Wazima moto 600 wanakabiliana na moto huo ambao ulianza Jumatatu asubuhi, katika mbuga moja ya kitaifa ya wanyama pori, iliyoko katika jimbo la Luberon, na kufikia sasa moto huo unateketeza eneo la ukubwa wa kilomita 8 mraba.
Mamia ya watu wamehamishwa kama njia ya kuchukua tahadhari.

CHANZO: BBC

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger