Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Wananchi wa kijiji cha Likwachu,
Wilaya ya Ruangwa, akiwa katika ziara ya kikazi ya siku tano Mkoani
Lindi, Julai 11, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wananchi
wa kijiji cha Likwachu, Wilaya ya Ruangwa, wakimsikiliza Waziri Mkuu
Kassim Majaliwa alipo ongea nao, wakati akiwa kwenye ziara ya kikazi ya
siku tano Mkoani Lindi, Julai 11, 2017.
Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Wananchi wa kijiji cha Likwachu,
Wilaya ya Ruangwa, akiwa katika ziara ya kikazi ya siku tano Mkoani
Lindi, Julai 11, 2017.
SHARE
No comments:
Post a Comment