TRA

TRA

Friday, July 14, 2017

William Ngeleja kurudisha fedha za ESCROW, Sheria ya TZ inasemaje?

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja alitangaza hivi karibuni kurudisha Tsh. mil 40.4 alizopewa na mfanyabiashara James Rugemarila ambaye anahusishwa na tuhuma za ESCROW na kuibua mijadala katika jamii.

Hatua ya Ngeleja kurudisha fedha hizo imeibua mijadala mbalimbali katika jamii ambapo watu mbalimbali waikiwemo Wanasheria wamekuwa wakiizungumzia issue hiyo ambayo tayari baadhi ya wahusika wamefikishwa Mahakamani akiwemo Rugemarila na kusomewa mashtaka.

Miongoni mwa wanasheria hao ni Hashimu Mziray ambaye anasema alichokifanya Ngeleja ni udhaifu na anatakiwa kuomba radhi, kwani fedha hizo alizichukua muda mrefu na huenda alizifanyia uzalishaji ambapo kisheria halijakaa sawa.

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger