TRA

TRA

Wednesday, July 5, 2017

YALIYOJIRI KIKAO CHA 60 MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA ULAI 5, 2017.

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !

 

PIX 1 Mhe.Tulia
Naibu Spika  wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk.Tulia Ackson  akiongoza    kikao cha sitini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 5, 2017.
PIX 2 Mhe.Masaju
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe.George Masaju akisoma maelezo ya Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria mbalimbali wa mwaka 2017 katika  kikao sitini  cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 5, 2017.
PIX 3 Mhe.Manyanya
Naibu Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Mhe.Eng Stella Manyanya akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha sitini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 5, 2017.
PIX 4 Mhe.kIjaji
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dk Ashatu Kijaji akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha sitini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 5, 2017.
PIX 5 Wachezaji wa Singida united
Viongozi na wachezaji wa timu ya Singida United wakiwa wakifuatilia mijadala ya bunge   katika kikao cha sitini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 5, 2017.
Picha Zote na Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO, DODOMA

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger