Mshambuliaji nyota
wa klabu ya Barcelona Lionel Messi amekubali kutia saini mkataba mpya
ambao utamuweka katika klabu hiyo hadi 2021.
Mchezaji huyo anatarajiwa kutia saini mkataba huo atakaporejea kushiriki mazoezi. Messi alifunga ndoa mwishoni mwa wiki mjini Rosario, Argentina.
CHANZO: BBC
SHARE
No comments:
Post a Comment