• About
  • Services
  • Products
  • Blog
  • Contact Us

NCHI YANGU

Menu
  • Home
  • Lifestyle
    • Sub Menu 1
    • Sub Menu 2
    • Sub Menu 3
  • Sports
    • Sub Menu 1
      • Sub Menu 1
      • Sub Menu 2
      • Sub Menu 3
    • Sub Menu 2
    • Sub Menu 3
  • Post
  • Fitness
  • Music
  • Travel
  • Politics
  • Beauty

TRA

TRA

Sunday, August 27, 2017

Home > > Homa ya NGURUWE yaua watu 1,000 nchini India

Homa ya NGURUWE yaua watu 1,000 nchini India

at 11:45 PM
Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !
India inaonekana kukabiliwa na mlipuko wa ugonjwa wa homa ya nguruwe baada ya watu 1,094 kuthibitishwa kufariki kutokana na ugonjwa huo katika kipindi cha miezi minane iliyopita, taarifa rasmi ya serikali imesema.
Katika wiki tatu zilizopita, idadi ya vifo imekuwa juu sana, ambapo watu 342 wamefariki.
Jumla ya visa 22,186 vya maambukizi ya ugonjwa huo vimeripotiwa nchini humo.
Idadi ya watu waliofariki mwaka huu ni mara nne zaidi ya idadi iliyoripotiwa katika kipindi sawa na hicho mwaka 2016 ambapo visa vya ugonjwa huo vilikuwa vimeshuka sana.
Jimbo la Maharashtra magharibi mwa nchi hiyo ndilo lililoathirika zaidi ambapo waliofarikini ni 437 kwa mujibu wa takwimu za wizara ya afya.

 Vifo vilivyotokana na homa ya nguruwe vimeongezeka sana mwaka huu
Jimbo hilo linafuatwa na jimbo jirani la Gujarat lililoshuhudia vifo 297.
India ilikabiliwa na mlipuko mbaya wa homa hiyo miaka miwili iliyopita ambapo zaidi ya watu 1,900 walifariki.
Lakini visa vilishuka mwaka 2016 ambapo ni watu 265 waliofariki, lakini mwaka huu visa vimeongezeka tena.
Mlipuko mbaya zaidi wa homa hiyo nchini humo ulitokea 2009-2010, ambapo watu 50,000 waliambukizwa na wengine 2,700 kufariki kote nchini humo.
Dkt Sanjay Gururaj, mkurugenzi wa kimatibabu katika hospitali ya Shanthi, ambayo ni hospitali ya kibinafsi, amesema si lazima kwa hospitali za kibinafsi kupiga ripoti kuhusu visa vya maambukizi ya homa hiyo kwa serikali.
"Takwimu za serikali kwa hivyo zinaweza kuwa ni kionjo tu," amesema.

Homa ya nguruwe ni nini?
  • Ni ugonjwa wa kupumua unaosababishwa na virusi ya influenza aina A, vinavyofahamika kama H1N1
  • Chanzo chake ni kwenye nguruwe, lakini sasa huambukiza binadamu na huenezwa kwa kupiga chafya au kukohoa.
  • Dalili za ugonjwa huo zinakaribiana na za homa ya msimu - homa kali, kukohoa, maumivu kooni, maumivu mwilini na mzizimo.
  • Wanaoathirika zaidi huwa wajawazito, watoto wa chini ya miaka mitano, wazee wa zaidi ya miaka 65 na wale wenye matatizo mengine ya kiafya.
  • Virusi hiyo vilitambuliwa mara ya kwanza nchini mexico mwaka 2009 na vikaenea upesi maeneo mengine duniani.
  •  
  • CHANZO: BBC
Unknown

Author: Unknown

SHARE
  • Share
  • Tweet
  • Share
  • Pin
  • Share
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Fourni par Blogger CodeEnvoyer par emailBlogThis !Partager sur TwitterPartager sur FacebookPartager sur LinkedInÉpingler sur PinterestPartager sur StumbleUponVoter pour cet article sur HelloCoton

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Tupate kupitia Facebook

Popular Posts

  • MGOMBEA BINAFSI KUAPISHWA KAMA MBUNGE UGANDA
      Mwanamuziki wa nyimbo za reggae nchini Uganda, Robert Kyagulanyi Ssentamu, maarufu kama Bobi Wine, anaapishwa leo kama mbunge w...
  • MRADI WA HIPZ WAANDAA MBIO ZA BASKELI KUKUSANYA FEDHA KWA AJILI YA KUIMARISHA HUDUMA ZA AFYA HOSPITALI YA MAKUNDUCHI NA KIVUNGE
    Mratibu wa resi za baskeli (Bike Ride 2017) Dkt. Jon Rees akizungumza na waandishi wa habari kuhusu dhamira ya mbio...
  • VODACOM HAIPO KIBIASHARA TU, HADI KWENYE MICHEZO. SOMA HAPA
    Wachezaji wa timu ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania PLC, wakishangilia ushindi wao  baada ya kuiadhibu timu ya wafanyakazi wa Huaw...

Popular Posts

  • MGOMBEA BINAFSI KUAPISHWA KAMA MBUNGE UGANDA
    MGOMBEA BINAFSI KUAPISHWA KAMA MBUNGE UGANDA
      Mwanamuziki wa nyimbo za reggae nchini Uganda, Robert Kyagulanyi Ssentamu, maarufu kama Bobi Wine, anaapishwa leo kama mbunge w...
  • MRADI WA HIPZ WAANDAA MBIO ZA BASKELI KUKUSANYA FEDHA KWA AJILI YA KUIMARISHA HUDUMA ZA AFYA HOSPITALI YA MAKUNDUCHI NA KIVUNGE
    Mratibu wa resi za baskeli (Bike Ride 2017) Dkt. Jon Rees akizungumza na waandishi wa habari kuhusu dhamira ya mbio...
  • VODACOM HAIPO KIBIASHARA TU, HADI KWENYE MICHEZO. SOMA HAPA
    VODACOM HAIPO KIBIASHARA TU, HADI KWENYE MICHEZO. SOMA HAPA
    Wachezaji wa timu ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania PLC, wakishangilia ushindi wao  baada ya kuiadhibu timu ya wafanyakazi wa Huaw...
  • WAKURUGENZI WA SHIRIKA MISAADA YA KIMAENDELEO LA UINGEREZA WAWATEMBELEA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI UNAOTEKELEZWA NA TASAF WILAYANI KISARAWE,MKOANI PWANI.
    WAKURUGENZI WA SHIRIKA MISAADA YA KIMAENDELEO LA UINGEREZA WAWATEMBELEA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI UNAOTEKELEZWA NA TASAF WILAYANI KISARAWE,MKOANI PWANI.
    Mkurugenzi Mtendaji waShirika la Misaada ya Maendeleo la Uingereza DFID katika Benki ya Dunia Bw.David Kinder amepongeza hatua iliy...
  • MENEJA WA SIDO MKOA WA MTWARA AZINDUA RASMI MAFUNZO YA KUWAWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI CHINI YA TAASISI YA MANJANO FOUNDATION
    MENEJA WA SIDO MKOA WA MTWARA AZINDUA RASMI MAFUNZO YA KUWAWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI CHINI YA TAASISI YA MANJANO FOUNDATION
      Meneja wa SIDO Mkoa wa Mtwara Joel Chidabwa Akizungumza Machache wakati Akizindua Rasmi mafunzo ya Ujasiriamali kwa Wanawake w...
  • WENYEVITI NA MAKAMU WENYEVITI WA KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE WAKUTANA NA WABUNGE WA BUNGE LA UMOJA WA ULAYA
    WENYEVITI NA MAKAMU WENYEVITI WA KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE WAKUTANA NA WABUNGE WA BUNGE LA UMOJA WA ULAYA
      Mwenyekiti wa Wabunge Vijana wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Upendo peneza akizungumza wakati wa   semina ya pamoj...

Pages

  • Home
  • About Us
  • Contat Us
 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger