TANZIA
BREAKING
NEWS;Aliyewahi
kuwa Mkuu wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga, Bw. Muhingo Rweyemamu, amefariki
dunia mapema leo asubuhi Septemba 2, 2017.
Bw.
Rweyemamu aliteuliwa kwa mara ya kwanza kuwa Mkuu wa wilaya ya Makete
mkoani Njombe (Iringa wakati huo), na
Rais wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete. Baadaye alihamishiwa wilayani Handeni
mkoani Tanga. Bw. Rweyemamu pia alipata kuwa mwandishi wa habari na mhariri
katika magazeti mbali mbali na mara ya
mwisho alikuwa mhariri wa gazeti la RAI.
Taarifa
ZAidi zitapatikana baadaye kadri zitakavyotufikia
SHARE
No comments:
Post a Comment