Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Ahmed
Msangi ametolea ufafanuzi kuhusu ajali iliyohusisha gari la Polisi
lililokuwa limebeba Mahabusu kugongana na Toyota Vits kwenye Round about
ya Samaki Mwanza ambapo ilisababisha majeruhi wawili; Askari Polisi na
Mahabusu ambao tayari wameruhusiwa baada ya kutibiwa katika Hospital ya
Mkoa Sekou Toure.
No comments:
Post a Comment