Mama Diamond akiwa kwenye ofisi ya mwanae
Kwa Diamond lakini, hamu yake ya kujibrand kuwa msanii mkubwa na wa kimataifa, imemfanya aamue kuwa na ofisi yenye hadhi yake.
Kupitia Instagram, hitmaker huyo wa ‘Utanipenda’ alishare picha ya kwanza ya ofisi yake ya kuvutia baada ya mama yake kumtembelea.
SHARE
No comments:
Post a Comment