Hospitali Teule ya Mkoa wa Geita ambapo mpango unaoendeshwa na Mfuko wa Taifa wa NHIF
Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za
Matibabu na Ushauri wa Kitaalam Dk. Aifena Mramba ambaye alimwakilisha
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Benrard Konga,akitoa maelezo ya awali
kwenye uzinduzi wa huduma hizo.
Mramba akikabidhi Mashuka na Vifaa tiba kwa uongozi wa Mkoa wa Geita kwa ajili ya matumizi ya zoezi la MadaktariBingwa.
Wananchi wenye uhitajiwa hudumazaKibingwa wakiwakwenyemstariwakuandikishwa
Wananchiwakifuataliahotubayauzinduziwazoezihilo la madaktariBingwa
WahudumukatikahospitaliyaMkoawaGeitawakihesabumashukayaliyotolewana NHIF.
…………………………
Geitawapongezahudumaza NHIF
Na Grace Michael, Geita
MamiayawananchimkoaniGeitawamejitokezakupatahudumazamadaktaribingwa
,
mpangounaotekelezwakwaushiriianowaMfukowaTaifawaBimayaAfyanaWizarayaAfya,
UstawiwaJamii, Jinsia, WazeenaWatoto.
MpangohuoulianzakutekelezwasikuyaJumatatu
wiki hii,
katikamikoayaGeitanaKigomanaunalengakuwahudumiawagonjwaambaowanahitajihudumazakibingwaambazohazipokatikaHospitalihizo.
Madaktaribingwawanaoshirikikatikampangohuoniwamagonjwayawatoto,
mfumowamkojo, magonjwayandaninamoyo, magonjwayapua,
masikionakoopamojanahudumazadawazausingizinahudumazawagonjwamahututi.
WakizungumzakatikauzinduziwampangohuouliofanyikakatikaviwanjavyahospitaliyamkoawaGeita,
wananchiwaliojitokezakupatahudumahizowamesemaujiowawataalamuhaoumekuwamsaadamkubwanaumewaondoleausumbufunagharamakubwaambazowangelazimikakuzitumiakufuatahudumahizonjeyamkoawao.
“ …
MfukoumetendajambojemasananaunapaswakupongezwahasakwakuonaumuhimuwakusogezahudumahizikaribunawananchiwengiwenyemahitajikwamfanomiminimjanehapanilipolakinimpangohuuumeniwezeshakuwaonahawawataalamambaokwahaliyakawaidanisingewaonahivyonapongezaMfukowaSerikaliyetuinayoongozwana
Dk. Pombe John Magufuli,..” Alisema Bi. Leah Ezekiel.
AkitoamaelezoyaawaliMwakilishiwaKaimuMkurugenziMkuuwaMfukowaTaifawaBimayaAfya
,
Dk.AifenaMrambaalisemakuwakwamudawasikumbilizazoezihilokatikamikioayaKigomanaGeita,
jumlayawagonjwa 1,204, wameonwanakuhudumiwanamadaktaribingwa.
AlisemakuwaidadihiyoimetoataswirayamahitajiyawananchikatikahudumazakibingwajambolinalotoahamasakwaMfukokuangalianamnayakuendesha
program hizokatikamaeneomengizaidi.
“…Kwamadaktarituliowaleta,
wametuhakikishiakuwawakotayarikufanyakazikwamudawowoteiliwagonjwawotewaliofikakwaajiliyampangohuowahudumiwenamfanomzurijanakunamadaktariwaliofanyakazihadisaasitausiku…”alisema
Dk. Mramba.
KatibuTawalawaMkoawaGeitaSelestineGesimba,ambayealimwakilishaMkuuwaMkoakatikauzinduziwampangohuo,
ameombaMfukowaTaifawaBimayaAfyakuangalianamnayakufanyahudumahizikuwaendelevukwakuwazimeonyeshamafanikiomakubwakatikakuwahudumiawananchiambaouwezowaonimdogokufuatahudumambali.
AliviagizavituovyamatibabumkoanihumokuendeleakushirikiananaMfukowaTaifawaBimayaAfyakatikafursambalimbalizinazolengakuboreshahudumaikiwanipamojanakutumiafursayamikopoyavifaatibanaukarabatiwamajengoilikuboreshahudumakatikavituovyao.
AidhaamewahimizawananchikujiunganaMfukowaTaifawaBimayaAfyanaMfukowaAfyayaJamiiilikujihakikishiaupatikanajiwakupatahudumakwakuchangiakablayakuuguanakuepukananausumbufuwakutafutafedhazamatibabuwakatiwanapougua
SHARE
No comments:
Post a Comment