Mbunge wa
Jimbo la Kawe Jijini Dar es Salaam Halima Mdee alikamatwa na jeshi la
polisi hivi karibuni, kwa kile kinachodaiwa na Mkuu wa Wilaya ya
Kinondoni Ally Hapi kuwa alitoa maneo ya uchochezi yenye kumtusi Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli katika hotuba yake
aliyoitoa kwa waandishi wa Habari Julai 4.
SHARE
No comments:
Post a Comment